Leonce jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 1,815
- 2,651
- Thread starter
- #161
Wazo zuli mkuu ntalifanyia kazi kma itanibidi kama nitashindwa kabisa bila yeye maana huwa alikua ananishauri vitu vingi jambo kubwa ni kumtegemea Muumba wetu siku za ujana wanguMuda mzuri wa kubadili tabia ni Sasa ukiwa kijana mdogo wangu ,ikiwa roho na nafsi yako vinakusuta basi ni wakati sahihi wa wewe kubadilika na kubali na mkeo wa maisha .
Achana na Mambo ya kuchepuka maana huna Jambo unaloingiza la faida zaidi ya kujitengenezea future mbaya na kuishi bila amani .
Rudi kwa huyo dada ,anza upya na mueleze ukweli anza mwanzo mpya ,maisha ni maamuzi ,amua leo
Maana anajua kazi ninayo ifanya changamoto zake