Habari.
Moja kwa moja kwenye mada
Mnamo mwaka 2016 nikiwa form form five mkoa x nilibahatika kuonana na huyu binti mweusi, mrefu wastan, mnene kiasi na mcha Mungu mpaka sasa.
Nilimpenda ikiwa ni sababu hizo alikuwa ananishauri muda mwingi kuwa mtu mwema na kumpenda, kumcha Mungu wakati wote
Na ni kweli nilikuwa naogopa kufanya vituko au fujo sehemu akiwepo nilikua na behave kuepuka ku mkwaza japo jasiri haachi asili.
Muda ni miaka 8 sasa tukiwa kwenye uchumba wa kawaida tulikua tunapotezana lkn tunapatana tena
Yeye hakuwa vizuri sana darasani mimi nilikua najiweza kias chake japo sio sana lkn sijawai ku fail wala kupigwa fimbo za ku fail masomo class.
Hivyo yeye ali fail na kurudi kwaO mkoa x mimi nikabahatika kujiunga na chuo kikuu cha dodoma UDOM
Nilitukiwa shahada yangu ya kwanza mwaka 2021 huku nikiwa naendelea kuwasiliana nae kila mara. Lkn tulipotezana gafla hakuwa online kwa muda na bila taarifa kuniambia
Baada ya mda kupita alinitafuta na kunijulisha kuwa kajiunga na jeshi (JKT) Mkoa X mwaka miezi ikapita akaomba nafasi za polisi akapata na sasa hivi ni polisi mkoa x
Nimemuacha kwa sababu 1. Nampenda sana sana 2. Yeye ni mwajiliwa wa jeshi la polisi kwa kifupi polisi mimi siwapendi wote 3. Amekua na lugha za komandi anataka nihamie dhehebu analosali yeye EAGT na mimi ni MLUTELI PURE UKOO WETU 4. Nipo mbali naye sana yeye yupo KILIMANJARO mimi MBEYA 5. Haoni thamani ya fedha (ni mfujaji ananunua kitanda cha 700k) na vitu vingine vya thaman vya thamani tofauti na anachokiingiza asilimia kubwa ya fedha anategemea atoe kwangu kama sio nusu item husika 6. nikiwa nime chill naye mama mkwe nilimsikia kwa simu kuwa atafute askari mwenzie ndio awe mwanaume wake japo hajui kuwa nilisikia. N.k
Najipanga niongezee kipato ni focus na mambo yangu niitumie degree yangu tukutane kileleni i declare now am single again
Namuacha roho yangu inauniuma sana na haitaki nimuache kabisa lkn inanibidi tu nimuache tu. Nime mblock kila chember kila aina ya mawasiliano nimewaambia ndugu zangu wasimpe taarifa yeyote ile kuhusu mimi.
Am sorry mumy siku yeyote mwaka wowote siku ukija kuona huu uzi basi kila lenye mwanzo halikosi mwisho but jua kuwa NAKUPENDA sana kila la kheri kwenye majukumu yako ya kazi na kupata mpenzi aliye bora na sahihi kuliko mimi