Nimeamua kumuacha mwanamke ninae mpenda sana roho yangu inaniuma sana

Tafta hela mkuu watu wana honga crown na iphone za macho matatu

I'm living above evarage mkuu, nikikutajia pesa ninayoingiza kwa wiki huwezi kuamini. Ni vile tu my types of women are different from yours
 
Walokole sikuhiz wapo hadi kkkt, Anglican, RC, na utaikuta hao EAGT wenyewe wapo huko na sio walokole
Tushakalili ivyo ila kuna jina lao wanao sali EAGT TAG FREE CHURCH NA MENGINE YA MFANO HUUU. huwa awaendani na sisi watu wa RC, LUTHERAN MORAVIAN NA AGLICANA
 
I'm living above evarage mkuu, nikikutajia pesa ninayoingiza kwa wiki huwezi kuamini. Ni vile tu my types of women are different from yours
Sawa mkuu nan akupinge ka mkubwa na mimi nataka nihame huko saa hii nijitafute niwekeze vya kutosha
 
Kukishakuwa na SoulBond hakuna wa kuwatenganisha. Ogopa sana Kiumbe kinachoitwa Mwanamke. Mimi Nina mchepuko mwaka wa 5 huu ameolewa na kati ya watoto wake watatu mmoja ni Wangu Hilo Halina Ubishi. Alivyojifungua ikapita miezi 6 alisafiri kunifwata Dar--Mbeya eti kaniletea zawadi ya mtoto Wangu na Ukimcheki dogo Leo Ni Copy Yangu. Ogopa sana Mwanamke akipenda
 
Habari.

Moja kwa moja kwenye mada

Mnamo mwaka 2016 nikiwa form form five mkoa x nilibahatika kuonana na huyu binti mweusi, mrefu wastan, mnene kiasi na mcha Mungu mpaka sasa.

Nilimpenda ikiwa ni sababu hizo alikuwa ananishauri muda mwingi kuwa mtu mwema na kumpenda, kumcha Mungu wakati wote

Na ni kweli nilikuwa naogopa kufanya vituko au fujo sehemu akiwepo nilikua na behave kuepuka ku mkwaza japo jasiri haachi asili.

Muda ni miaka 8 sasa tukiwa kwenye uchumba wa kawaida tulikua tunapotezana lkn tunapatana tena

Yeye hakuwa vizuri sana darasani mimi nilikua najiweza kias chake japo sio sana lkn sijawai ku fail wala kupigwa fimbo za ku fail masomo class.

Hivyo yeye ali fail na kurudi kwaO mkoa x mimi nikabahatika kujiunga na chuo kikuu cha dodoma UDOM

Nilitukiwa shahada yangu ya kwanza mwaka 2021 huku nikiwa naendelea kuwasiliana nae kila mara. Lkn tulipotezana gafla hakuwa online kwa muda na bila taarifa kuniambia

Baada ya mda kupita alinitafuta na kunijulisha kuwa kajiunga na jeshi (JKT) Mkoa X mwaka miezi ikapita akaomba nafasi za polisi akapata na sasa hivi ni polisi mkoa x

Nimemuacha kwa sababu 1. Nampenda sana sana 2. Yeye ni mwajiliwa wa jeshi la polisi kwa kifupi polisi mimi siwapendi wote 3. Amekua na lugha za komandi anataka nihamie dhehebu analosali yeye EAGT na mimi ni MLUTELI PURE UKOO WETU 4. Nipo mbali naye sana yeye yupo KILIMANJARO mimi MBEYA 5. Haoni thamani ya fedha (ni mfujaji ananunua kitanda cha 700k) na vitu vingine vya thaman vya thamani tofauti na anachokiingiza asilimia kubwa ya fedha anategemea atoe kwangu kama sio nusu item husika 6. nikiwa nime chill naye mama mkwe nilimsikia kwa simu kuwa atafute askari mwenzie ndio awe mwanaume wake japo hajui kuwa nilisikia. N.k

Najipanga niongezee kipato ni focus na mambo yangu niitumie degree yangu tukutane kileleni i declare now am single again

Namuacha roho yangu inauniuma sana na haitaki nimuache kabisa lkn inanibidi tu nimuache tu. Nime mblock kila chember kila aina ya mawasiliano nimewaambia ndugu zangu wasimpe taarifa yeyote ile kuhusu mimi.

Am sorry mumy siku yeyote mwaka wowote siku ukija kuona huu uzi basi kila lenye mwanzo halikosi mwisho but jua kuwa NAKUPENDA sana kila la kheri kwenye majukumu yako ya kazi na kupata mpenzi aliye bora na sahihi kuliko mimi
Huwa nikisikia tu mwanamke anamshauri mwanaume huwa navunjika moyo sana yani mwanaume unakuwa na akili ndogo hadi kuitaji kusolve mambo kwa kupitia ushauri wa mwanamke 🥴🥴🥴🥴 hata kama ni mama yako mzazi tayari hiyo ni dosari kubwa sana ...
 
Unamaanisha huwez kukubali chochote kutoka kwa mzazi wako
 
Habari.

Moja kwa moja kwenye mada

Mnamo mwaka 2016 nikiwa form form five mkoa x nilibahatika kuonana na huyu binti mweusi, mrefu wastan, mnene kiasi na mcha Mungu mpaka sasa.

Nilimpenda ikiwa ni sababu hizo alikuwa ananishauri muda mwingi kuwa mtu mwema na kumpenda, kumcha Mungu wakati wote

Na ni kweli nilikuwa naogopa kufanya vituko au fujo sehemu akiwepo nilikua na behave kuepuka ku mkwaza japo jasiri haachi asili.

Muda ni miaka 8 sasa tukiwa kwenye uchumba wa kawaida tulikua tunapotezana lkn tunapatana tena

Yeye hakuwa vizuri sana darasani mimi nilikua najiweza kias chake japo sio sana lkn sijawai ku fail wala kupigwa fimbo za ku fail masomo class.

Hivyo yeye ali fail na kurudi kwaO mkoa x mimi nikabahatika kujiunga na chuo kikuu cha dodoma UDOM

Nilitukiwa shahada yangu ya kwanza mwaka 2021 huku nikiwa naendelea kuwasiliana nae kila mara. Lkn tulipotezana gafla hakuwa online kwa muda na bila taarifa kuniambia

Baada ya mda kupita alinitafuta na kunijulisha kuwa kajiunga na jeshi (JKT) Mkoa X mwaka miezi ikapita akaomba nafasi za polisi akapata na sasa hivi ni polisi mkoa x

Nimemuacha kwa sababu 1. Nampenda sana sana 2. Yeye ni mwajiliwa wa jeshi la polisi kwa kifupi polisi mimi siwapendi wote 3. Amekua na lugha za komandi anataka nihamie dhehebu analosali yeye EAGT na mimi ni MLUTELI PURE UKOO WETU 4. Nipo mbali naye sana yeye yupo KILIMANJARO mimi MBEYA 5. Haoni thamani ya fedha (ni mfujaji ananunua kitanda cha 700k) na vitu vingine vya thaman vya thamani tofauti na anachokiingiza asilimia kubwa ya fedha anategemea atoe kwangu kama sio nusu item husika 6. nikiwa nime chill naye mama mkwe nilimsikia kwa simu kuwa atafute askari mwenzie ndio awe mwanaume wake japo hajui kuwa nilisikia. N.k

Najipanga niongezee kipato ni focus na mambo yangu niitumie degree yangu tukutane kileleni i declare now am single again

Namuacha roho yangu inauniuma sana na haitaki nimuache kabisa lkn inanibidi tu nimuache tu. Nime mblock kila chember kila aina ya mawasiliano nimewaambia ndugu zangu wasimpe taarifa yeyote ile kuhusu mimi.

Am sorry mumy siku yeyote mwaka wowote siku ukija kuona huu uzi basi kila lenye mwanzo halikosi mwisho but jua kuwa NAKUPENDA sana kila la kheri kwenye majukumu yako ya kazi na kupata mpenzi aliye bora na sahihi kuliko mimi
You are not alone

Key ni kutojuta tu
 
Kukishakuwa na SoulBond hakuna wa kuwatenganisha. Ogopa sana Kiumbe kinachoitwa Mwanamke. Mimi Nina mchepuko mwaka wa 5 huu ameolewa na kati ya watoto wake watatu mmoja ni Wangu Hilo Halina Ubishi. Alivyojifungua ikapita miezi 6 alisafiri kunifwata Dar--Mbeya eti kaniletea zawadi ya mtoto Wangu na Ukimcheki dogo Leo Ni Copy Yangu. Ogopa sana Mwanamke akipenda
Yaani mkuu muda wangu ukifika na yeye wake ukafika tukionana basi sawa me ntaoa tu yeye mwenyewe lkn akipata mwingine kuolewa au kuzalishwa io itakua imeishaaa
 
Unamaanisha huwez kukubali chochote kutoka kwa mzazi wako
Huyo asiye kubali chochote tayari ni mpumbavu maana anakataa hata jambo la akili litokalo kwa mzazi wake au House girl wake au mtumwa wake au mtoto wake nk....soma nilicho andika kwa kutumia akili... nilicho sema ni vipi mwanaume ashindwe kujua jambo jema la kufanya hadi kusubiri ushauri wa mwanamke ?
 
Habari.

Moja kwa moja kwenye mada

Mnamo mwaka 2016 nikiwa form form five mkoa x nilibahatika kuonana na huyu binti mweusi, mrefu wastan, mnene kiasi na mcha Mungu mpaka sasa.

Nilimpenda ikiwa ni sababu hizo alikuwa ananishauri muda mwingi kuwa mtu mwema na kumpenda, kumcha Mungu wakati wote

Na ni kweli nilikuwa naogopa kufanya vituko au fujo sehemu akiwepo nilikua na behave kuepuka ku mkwaza japo jasiri haachi asili.

Muda ni miaka 8 sasa tukiwa kwenye uchumba wa kawaida tulikua tunapotezana lkn tunapatana tena

Yeye hakuwa vizuri sana darasani mimi nilikua najiweza kias chake japo sio sana lkn sijawai ku fail wala kupigwa fimbo za ku fail masomo class.

Hivyo yeye ali fail na kurudi kwaO mkoa x mimi nikabahatika kujiunga na chuo kikuu cha dodoma UDOM

Nilitukiwa shahada yangu ya kwanza mwaka 2021 huku nikiwa naendelea kuwasiliana nae kila mara. Lkn tulipotezana gafla hakuwa online kwa muda na bila taarifa kuniambia

Baada ya mda kupita alinitafuta na kunijulisha kuwa kajiunga na jeshi (JKT) Mkoa X mwaka miezi ikapita akaomba nafasi za polisi akapata na sasa hivi ni polisi mkoa x

Nimemuacha kwa sababu 1. Nampenda sana sana 2. Yeye ni mwajiliwa wa jeshi la polisi kwa kifupi polisi mimi siwapendi wote 3. Amekua na lugha za komandi anataka nihamie dhehebu analosali yeye EAGT na mimi ni MLUTELI PURE UKOO WETU 4. Nipo mbali naye sana yeye yupo KILIMANJARO mimi MBEYA 5. Haoni thamani ya fedha (ni mfujaji ananunua kitanda cha 700k) na vitu vingine vya thaman vya thamani tofauti na anachokiingiza asilimia kubwa ya fedha anategemea atoe kwangu kama sio nusu item husika 6. nikiwa nime chill naye mama mkwe nilimsikia kwa simu kuwa atafute askari mwenzie ndio awe mwanaume wake japo hajui kuwa nilisikia. N.k

Najipanga niongezee kipato ni focus na mambo yangu niitumie degree yangu tukutane kileleni i declare now am single again

Namuacha roho yangu inauniuma sana na haitaki nimuache kabisa lkn inanibidi tu nimuache tu. Nime mblock kila chember kila aina ya mawasiliano nimewaambia ndugu zangu wasimpe taarifa yeyote ile kuhusu mimi.

Am sorry mumy siku yeyote mwaka wowote siku ukija kuona huu uzi basi kila lenye mwanzo halikosi mwisho but jua kuwa NAKUPENDA sana kila la kheri kwenye majukumu yako ya kazi na kupata mpenzi aliye bora na sahihi kuliko mimi
Oya nipe connection iyo Mimi ninaendana nae
 
Single mother watoto wa kulelewa na single mother ni noma mkuu mama anavisha mtoto anaona
🤣Njoo bariadi tukupe kabinti ukakakuze

Wahenga wanasema hivi

"ukiona maisha ya biashara, mapenzi, jamii yanakutesa badili mfumo wa m
Mkuu siwezi piga nyeto madem ofisin kwangu wa field hakukauki tena wa vyuo ni kujichagulia tu
Hapo uhakika mzee of ur 28 and above deal with 17-23 years chicks, utilize your energy don't date age mates 24 and above chronic retired hoe's piga chini
 
Mama yake ana akili sana kumshauri atafute askari mwenzake.
 
Back
Top Bottom