Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Mwanaume kamili akifanya maamuzi huwa haangalii nyuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hata mama yake ni single mother hawa watoto wa ma single maza mama zao huwalisha sumu watoto kwa baba zao mpaka kwa waume zao
Unataka mtu asilale usiku Kwa mawazoHawezi kukosa, anae
Tafta hela mkuu watu wana honga crown na iphone za macho matatu
Tushakalili ivyo ila kuna jina lao wanao sali EAGT TAG FREE CHURCH NA MENGINE YA MFANO HUUU. huwa awaendani na sisi watu wa RC, LUTHERAN MORAVIAN NA AGLICANAWalokole sikuhiz wapo hadi kkkt, Anglican, RC, na utaikuta hao EAGT wenyewe wapo huko na sio walokole
Sawa mkuu nan akupinge ka mkubwa na mimi nataka nihame huko saa hii nijitafute niwekeze vya kutoshaI'm living above evarage mkuu, nikikutajia pesa ninayoingiza kwa wiki huwezi kuamini. Ni vile tu my types of women are different from yours
Huwa nikisikia tu mwanamke anamshauri mwanaume huwa navunjika moyo sana yani mwanaume unakuwa na akili ndogo hadi kuitaji kusolve mambo kwa kupitia ushauri wa mwanamke 🥴🥴🥴🥴 hata kama ni mama yako mzazi tayari hiyo ni dosari kubwa sana ...Habari.
Moja kwa moja kwenye mada
Mnamo mwaka 2016 nikiwa form form five mkoa x nilibahatika kuonana na huyu binti mweusi, mrefu wastan, mnene kiasi na mcha Mungu mpaka sasa.
Nilimpenda ikiwa ni sababu hizo alikuwa ananishauri muda mwingi kuwa mtu mwema na kumpenda, kumcha Mungu wakati wote
Na ni kweli nilikuwa naogopa kufanya vituko au fujo sehemu akiwepo nilikua na behave kuepuka ku mkwaza japo jasiri haachi asili.
Muda ni miaka 8 sasa tukiwa kwenye uchumba wa kawaida tulikua tunapotezana lkn tunapatana tena
Yeye hakuwa vizuri sana darasani mimi nilikua najiweza kias chake japo sio sana lkn sijawai ku fail wala kupigwa fimbo za ku fail masomo class.
Hivyo yeye ali fail na kurudi kwaO mkoa x mimi nikabahatika kujiunga na chuo kikuu cha dodoma UDOM
Nilitukiwa shahada yangu ya kwanza mwaka 2021 huku nikiwa naendelea kuwasiliana nae kila mara. Lkn tulipotezana gafla hakuwa online kwa muda na bila taarifa kuniambia
Baada ya mda kupita alinitafuta na kunijulisha kuwa kajiunga na jeshi (JKT) Mkoa X mwaka miezi ikapita akaomba nafasi za polisi akapata na sasa hivi ni polisi mkoa x
Nimemuacha kwa sababu 1. Nampenda sana sana 2. Yeye ni mwajiliwa wa jeshi la polisi kwa kifupi polisi mimi siwapendi wote 3. Amekua na lugha za komandi anataka nihamie dhehebu analosali yeye EAGT na mimi ni MLUTELI PURE UKOO WETU 4. Nipo mbali naye sana yeye yupo KILIMANJARO mimi MBEYA 5. Haoni thamani ya fedha (ni mfujaji ananunua kitanda cha 700k) na vitu vingine vya thaman vya thamani tofauti na anachokiingiza asilimia kubwa ya fedha anategemea atoe kwangu kama sio nusu item husika 6. nikiwa nime chill naye mama mkwe nilimsikia kwa simu kuwa atafute askari mwenzie ndio awe mwanaume wake japo hajui kuwa nilisikia. N.k
Najipanga niongezee kipato ni focus na mambo yangu niitumie degree yangu tukutane kileleni i declare now am single again
Namuacha roho yangu inauniuma sana na haitaki nimuache kabisa lkn inanibidi tu nimuache tu. Nime mblock kila chember kila aina ya mawasiliano nimewaambia ndugu zangu wasimpe taarifa yeyote ile kuhusu mimi.
Am sorry mumy siku yeyote mwaka wowote siku ukija kuona huu uzi basi kila lenye mwanzo halikosi mwisho but jua kuwa NAKUPENDA sana kila la kheri kwenye majukumu yako ya kazi na kupata mpenzi aliye bora na sahihi kuliko mimi
Unamaanisha huwez kukubali chochote kutoka kwa mzazi wakoHuwa nikisikia tu mwanamke anamshauri mwanaume huwa navunjika moyo sana yani mwanaume unakuwa na akili ndogo hadi kuitaji kusolve mambo kwa kupitia ushauri wa mwanamke 🥴🥴🥴🥴 hata kama ni mama yako mzazi tayari hiyo ni dosari kubwa sana ...
You are not aloneHabari.
Moja kwa moja kwenye mada
Mnamo mwaka 2016 nikiwa form form five mkoa x nilibahatika kuonana na huyu binti mweusi, mrefu wastan, mnene kiasi na mcha Mungu mpaka sasa.
Nilimpenda ikiwa ni sababu hizo alikuwa ananishauri muda mwingi kuwa mtu mwema na kumpenda, kumcha Mungu wakati wote
Na ni kweli nilikuwa naogopa kufanya vituko au fujo sehemu akiwepo nilikua na behave kuepuka ku mkwaza japo jasiri haachi asili.
Muda ni miaka 8 sasa tukiwa kwenye uchumba wa kawaida tulikua tunapotezana lkn tunapatana tena
Yeye hakuwa vizuri sana darasani mimi nilikua najiweza kias chake japo sio sana lkn sijawai ku fail wala kupigwa fimbo za ku fail masomo class.
Hivyo yeye ali fail na kurudi kwaO mkoa x mimi nikabahatika kujiunga na chuo kikuu cha dodoma UDOM
Nilitukiwa shahada yangu ya kwanza mwaka 2021 huku nikiwa naendelea kuwasiliana nae kila mara. Lkn tulipotezana gafla hakuwa online kwa muda na bila taarifa kuniambia
Baada ya mda kupita alinitafuta na kunijulisha kuwa kajiunga na jeshi (JKT) Mkoa X mwaka miezi ikapita akaomba nafasi za polisi akapata na sasa hivi ni polisi mkoa x
Nimemuacha kwa sababu 1. Nampenda sana sana 2. Yeye ni mwajiliwa wa jeshi la polisi kwa kifupi polisi mimi siwapendi wote 3. Amekua na lugha za komandi anataka nihamie dhehebu analosali yeye EAGT na mimi ni MLUTELI PURE UKOO WETU 4. Nipo mbali naye sana yeye yupo KILIMANJARO mimi MBEYA 5. Haoni thamani ya fedha (ni mfujaji ananunua kitanda cha 700k) na vitu vingine vya thaman vya thamani tofauti na anachokiingiza asilimia kubwa ya fedha anategemea atoe kwangu kama sio nusu item husika 6. nikiwa nime chill naye mama mkwe nilimsikia kwa simu kuwa atafute askari mwenzie ndio awe mwanaume wake japo hajui kuwa nilisikia. N.k
Najipanga niongezee kipato ni focus na mambo yangu niitumie degree yangu tukutane kileleni i declare now am single again
Namuacha roho yangu inauniuma sana na haitaki nimuache kabisa lkn inanibidi tu nimuache tu. Nime mblock kila chember kila aina ya mawasiliano nimewaambia ndugu zangu wasimpe taarifa yeyote ile kuhusu mimi.
Am sorry mumy siku yeyote mwaka wowote siku ukija kuona huu uzi basi kila lenye mwanzo halikosi mwisho but jua kuwa NAKUPENDA sana kila la kheri kwenye majukumu yako ya kazi na kupata mpenzi aliye bora na sahihi kuliko mimi
Yaani mkuu muda wangu ukifika na yeye wake ukafika tukionana basi sawa me ntaoa tu yeye mwenyewe lkn akipata mwingine kuolewa au kuzalishwa io itakua imeishaaaKukishakuwa na SoulBond hakuna wa kuwatenganisha. Ogopa sana Kiumbe kinachoitwa Mwanamke. Mimi Nina mchepuko mwaka wa 5 huu ameolewa na kati ya watoto wake watatu mmoja ni Wangu Hilo Halina Ubishi. Alivyojifungua ikapita miezi 6 alisafiri kunifwata Dar--Mbeya eti kaniletea zawadi ya mtoto Wangu na Ukimcheki dogo Leo Ni Copy Yangu. Ogopa sana Mwanamke akipenda
Huyo asiye kubali chochote tayari ni mpumbavu maana anakataa hata jambo la akili litokalo kwa mzazi wake au House girl wake au mtumwa wake au mtoto wake nk....soma nilicho andika kwa kutumia akili... nilicho sema ni vipi mwanaume ashindwe kujua jambo jema la kufanya hadi kusubiri ushauri wa mwanamke ?Unamaanisha huwez kukubali chochote kutoka kwa mzazi wako
Oya nipe connection iyo Mimi ninaendana naeHabari.
Moja kwa moja kwenye mada
Mnamo mwaka 2016 nikiwa form form five mkoa x nilibahatika kuonana na huyu binti mweusi, mrefu wastan, mnene kiasi na mcha Mungu mpaka sasa.
Nilimpenda ikiwa ni sababu hizo alikuwa ananishauri muda mwingi kuwa mtu mwema na kumpenda, kumcha Mungu wakati wote
Na ni kweli nilikuwa naogopa kufanya vituko au fujo sehemu akiwepo nilikua na behave kuepuka ku mkwaza japo jasiri haachi asili.
Muda ni miaka 8 sasa tukiwa kwenye uchumba wa kawaida tulikua tunapotezana lkn tunapatana tena
Yeye hakuwa vizuri sana darasani mimi nilikua najiweza kias chake japo sio sana lkn sijawai ku fail wala kupigwa fimbo za ku fail masomo class.
Hivyo yeye ali fail na kurudi kwaO mkoa x mimi nikabahatika kujiunga na chuo kikuu cha dodoma UDOM
Nilitukiwa shahada yangu ya kwanza mwaka 2021 huku nikiwa naendelea kuwasiliana nae kila mara. Lkn tulipotezana gafla hakuwa online kwa muda na bila taarifa kuniambia
Baada ya mda kupita alinitafuta na kunijulisha kuwa kajiunga na jeshi (JKT) Mkoa X mwaka miezi ikapita akaomba nafasi za polisi akapata na sasa hivi ni polisi mkoa x
Nimemuacha kwa sababu 1. Nampenda sana sana 2. Yeye ni mwajiliwa wa jeshi la polisi kwa kifupi polisi mimi siwapendi wote 3. Amekua na lugha za komandi anataka nihamie dhehebu analosali yeye EAGT na mimi ni MLUTELI PURE UKOO WETU 4. Nipo mbali naye sana yeye yupo KILIMANJARO mimi MBEYA 5. Haoni thamani ya fedha (ni mfujaji ananunua kitanda cha 700k) na vitu vingine vya thaman vya thamani tofauti na anachokiingiza asilimia kubwa ya fedha anategemea atoe kwangu kama sio nusu item husika 6. nikiwa nime chill naye mama mkwe nilimsikia kwa simu kuwa atafute askari mwenzie ndio awe mwanaume wake japo hajui kuwa nilisikia. N.k
Najipanga niongezee kipato ni focus na mambo yangu niitumie degree yangu tukutane kileleni i declare now am single again
Namuacha roho yangu inauniuma sana na haitaki nimuache kabisa lkn inanibidi tu nimuache tu. Nime mblock kila chember kila aina ya mawasiliano nimewaambia ndugu zangu wasimpe taarifa yeyote ile kuhusu mimi.
Am sorry mumy siku yeyote mwaka wowote siku ukija kuona huu uzi basi kila lenye mwanzo halikosi mwisho but jua kuwa NAKUPENDA sana kila la kheri kwenye majukumu yako ya kazi na kupata mpenzi aliye bora na sahihi kuliko mimi
🤣Njoo bariadi tukupe kabinti ukakakuzeSingle mother watoto wa kulelewa na single mother ni noma mkuu mama anavisha mtoto anaona
Hapo uhakika mzee of ur 28 and above deal with 17-23 years chicks, utilize your energy don't date age mates 24 and above chronic retired hoe's piga chiniMkuu siwezi piga nyeto madem ofisin kwangu wa field hakukauki tena wa vyuo ni kujichagulia tu