Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Si useme tu ukweli shida zote zilianzia hapa š Leonce jr5. Haoni thamani ya fedha (ni mfujaji ananunua kitanda cha 700k) na vitu vingine vya thaman vya thamani tofauti na anachokiingiza asilimia kubwa ya fedha anategemea atoe kwangu kama sio nusu item husika 6.