Leonce jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 1,815
- 2,651
- Thread starter
- #81
Mkuu ikichukua mwaka haitaniuma ila week 3 itaniuma sana mkuuUkisikia anaolewa? Utaweza kuhandle? Hakikisha maswal hayo unajijibu huku ukiwa huna maumivu. Ukioa huto mkumbuka, mkikutana huko mbeleni hamtaharibiana ndoa ambayo kila mtu naingia? Kwani ukisimama Kama mwanaume na kumpa msimamo Wako kuwa usipo badirika tuna achana , halafu umwangalie atafanyaje . Ndugu mapenz ni mazuri Sana ukipatia, na ni mabayaaaa Sana ukikosea