Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa si ungemwambia yeye mwenyewe hayo mapungufu yake? 😀Habari.
Moja kwa moja kwenye mada
Mnamo mwaka 2016 nikiwa form form five mkoa x nilibahatika kuonana na huyu binti mweusi, mrefu wastan, mnene kiasi na mcha Mungu mpaka sasa.
Nilimpenda ikiwa ni sababu hizo alikuwa ananishauri muda mwingi kuwa mtu mwema na kumpenda, kumcha Mungu wakati wote
Na ni kweli nilikuwa naogopa kufanya vituko au fujo sehemu akiwepo nilikua na behave kuepuka ku mkwaza japo jasiri haachi asili.
Muda ni miaka 8 sasa tukiwa kwenye uchumba wa kawaida tulikua tunapotezana lkn tunapatana tena
Yeye hakuwa vizuri sana darasani mimi nilikua najiweza kias chake japo sio sana lkn sijawai ku fail wala kupigwa fimbo za ku fail masomo class.
Hivyo yeye ali fail na kurudi kwaO mkoa x mimi nikabahatika kujiunga na chuo kikuu cha dodoma UDOM
Nilitukiwa shahada yangu ya kwanza mwaka 2021 huku nikiwa naendelea kuwasiliana nae kila mara. Lkn tulipotezana gafla hakuwa online kwa muda na bila taarifa kuniambia
Baada ya mda kupita alinitafuta na kunijulisha kuwa kajiunga na jeshi (JKT) Mkoa X mwaka miezi ikapita akaomba nafasi za polisi akapata na sasa hivi ni polisi mkoa x
Nimemuacha kwa sababu 1. Nampenda sana sana 2. Yeye ni mwajiliwa wa jeshi la polisi kwa kifupi polisi mimi siwapendi wote 3. Amekua na lugha za komandi anataka nihamie dhehebu analosali yeye EAGT na mimi ni MLUTELI PURE UKOO WETU 4. Nipo mbali naye sana yeye yupo KILIMANJARO mimi MBEYA 5. Haoni thamani ya fedha (ni mfujaji ananunua kitanda cha 700k) na vitu vingine vya thaman vya thamani tofauti na anachokiingiza asilimia kubwa ya fedha anategemea atoe kwangu kama sio nusu item husika 6. nikiwa nime chill naye mama mkwe nilimsikia kwa simu kuwa atafute askari mwenzie ndio awe mwanaume wake japo hajui kuwa nilisikia. N.k
Najipanga niongezee kipato ni focus na mambo yangu niitumie degree yangu tukutane kileleni i declare now am single again
Namuacha roho yangu inauniuma sana na haitaki nimuache kabisa lkn inanibidi tu nimuache tu. Nime mblock kila chember kila aina ya mawasiliano nimewaambia ndugu zangu wasimpe taarifa yeyote ile kuhusu mimi.
Am sorry mumy siku yeyote mwaka wowote siku ukija kuona huu uzi basi kila lenye mwanzo halikosi mwisho but jua kuwa NAKUPENDA sana kila la kheri kwenye majukumu yako ya kazi na kupata mpenzi aliye bora na sahihi kuliko mimi
Usijidanganye, women have plan A B and C. Tena huyo wa mbali ndio kabisa.Mkuuu ni uamuzi nimeogopa kumwambia makavu laiv kuogopa nta muaathili kisaikolojia na kupunguza uwezo kazini kwake
Hajampenda mwingine mkuu muda wowote alikua tayar nimepeleke barua or posa kwao yaani ni icho kilibaki na alikua anamaanisha kweli na mimi nilipanga hivyo lkn nimeamuaa maamuzi mengine kama wangu tu Mungu alinipangia basi atanisubiri bila kumwambia anisubiriMbona unalilia sana mkuu, anyway pole vidume tunajikaza hatuliilii hovyo.
Wengine tushaumizwa moyo umekuwa na ganzi, unaempenda wewe kapenda na mwingine, mwingine nae kapendwa na mwingine, huyo mwingine nae ana mwingine moyo sukuma damu so mashine.
sawa subiriHajampenda mwingine mkuu muda wowote alikua tayar nimepeleke barua or posa kwao yaani ni icho kilibaki na alikua anamaanisha kweli na mimi nilipanga hivyo lkn nimeamuaa maamuzi mengine kama wangu tu Mungu alinipangia basi atanisubiri bila kumwambia anisubiri
Ni kweli mkuu hata mimi nawatafuna huku mtaani kwa kazi niliyo nayo kuliko anavyotafunwa yeye. Kingine yeye alishamaliza kozoUmefanya la maana sana. Hao jamaa ni majambazi wenye magwanda, angeweza hata kukusukia mpango uibiwe.
Halafu huko madepo wanatafunwa kama muwa. Ni mwendo wa kuhamishwa toka afande mmoja kwenda kwa mwingine.
ARV zenyewe za tabu sasa hivi
Naamini hata mimi lkn hata hivyo naomba apate mwanaume bora ili aje anisahau kabisa mimi mkuuMuache aende mapenzi sio kulazimishana . Ikiwa unaona Huna maamuzi kwenye huo upendo achana nao .nikukumbushe tu kuwa tunaoa wanawake tusio watarajia.mungu amekadiria hivyo.
Huwezi ku move on bila kumsahauMkuu sitakuja ku msahau kabisa kamwe atabaki kuwa role model kwa wote watakao fuata na hakuna atakae kuja kumfunika.
Lkn wacha ni move on maisha mengne yaendelee. Hakuna namna
watu kama nyie mara nyingi hamna bahati na mapenzi .una moyo mzuri mkuuNaamini hata mimi lkn hata hivyo naomba apate mwanaume bora ili aje anisahau kabisa mimi mkuu
We jamaa bana 😀Mkuuu ni uamuzi nimeogopa kumwambia makavu laiv kuogopa nta muaathili kisaikolojia na kupunguza uwezo kazini kwake
Hajanifukuza mkuu na hana ubavu kila kitu nimemzidi elimu na ukongwe kazin tena yey kaajiliwa kwa kutumia chet cha 4m4 uko jeshini aje apande vyeo anifikie mimi nipo mara 7 yakesizitaki mbichi hizi, bora umejua mapema maana ya akufukuzae hakwambii toka.
Hapa kuna ukweli 😀Umefanya uamuzi sahihi... Hongera mbwa wewe hukujidanganya kuoa... Hongera zako umefunguka akili mapema...
Kataa Ndoa uishi kwa amani uimarike kiuchumi... Ndoa ni mauzauza ushetani umasikini upuuzi ushamba na utoto...
Enjoy maisha yako, zalisha tu mzee baba wanawake wapo wengi ila sio wakuweka ndani...
Sasa ulivyo mpuuzi rogwa jichanganye uoe au umrudie huyu kiumbe dhaifu ndio utajua shetani na mwanamke ni baba mmoja mama mmoja