Nimeamua kumuacha mwanamke ninae mpenda sana roho yangu inaniuma sana

Nimeamua kumuacha mwanamke ninae mpenda sana roho yangu inaniuma sana

Habari.

Moja kwa moja kwenye mada

Mnamo mwaka 2016 nikiwa form form five mkoa x nilibahatika kuonana na huyu binti mweusi, mrefu wastan, mnene kiasi na mcha Mungu mpaka sasa.

Nilimpenda ikiwa ni sababu hizo alikuwa ananishauri muda mwingi kuwa mtu mwema na kumpenda, kumcha Mungu wakati wote

Na ni kweli nilikuwa naogopa kufanya vituko au fujo sehemu akiwepo nilikua na behave kuepuka ku mkwaza japo jasiri haachi asili.

Muda ni miaka 8 sasa tukiwa kwenye uchumba wa kawaida tulikua tunapotezana lkn tunapatana tena

Yeye hakuwa vizuri sana darasani mimi nilikua najiweza kias chake japo sio sana lkn sijawai ku fail wala kupigwa fimbo za ku fail masomo class.

Hivyo yeye ali fail na kurudi kwaO mkoa x mimi nikabahatika kujiunga na chuo kikuu cha dodoma UDOM

Nilitukiwa shahada yangu ya kwanza mwaka 2021 huku nikiwa naendelea kuwasiliana nae kila mara. Lkn tulipotezana gafla hakuwa online kwa muda na bila taarifa kuniambia

Baada ya mda kupita alinitafuta na kunijulisha kuwa kajiunga na jeshi (JKT) Mkoa X mwaka miezi ikapita akaomba nafasi za polisi akapata na sasa hivi ni polisi mkoa x

Nimemuacha kwa sababu 1. Nampenda sana sana 2. Yeye ni mwajiliwa wa jeshi la polisi kwa kifupi polisi mimi siwapendi wote 3. Amekua na lugha za komandi anataka nihamie dhehebu analosali yeye EAGT na mimi ni MLUTELI PURE UKOO WETU 4. Nipo mbali naye sana yeye yupo KILIMANJARO mimi MBEYA 5. Haoni thamani ya fedha (ni mfujaji ananunua kitanda cha 700k) na vitu vingine vya thaman vya thamani tofauti na anachokiingiza asilimia kubwa ya fedha anategemea atoe kwangu kama sio nusu item husika 6. nikiwa nime chill naye mama mkwe nilimsikia kwa simu kuwa atafute askari mwenzie ndio awe mwanaume wake japo hajui kuwa nilisikia. N.k

Najipanga niongezee kipato ni focus na mambo yangu niitumie degree yangu tukutane kileleni i declare now am single again

Namuacha roho yangu inauniuma sana na haitaki nimuache kabisa lkn inanibidi tu nimuache tu. Nime mblock kila chember kila aina ya mawasiliano nimewaambia ndugu zangu wasimpe taarifa yeyote ile kuhusu mimi.

Am sorry mumy siku yeyote mwaka wowote siku ukija kuona huu uzi basi kila lenye mwanzo halikosi mwisho but jua kuwa NAKUPENDA sana kila la kheri kwenye majukumu yako ya kazi na kupata mpenzi aliye bora na sahihi kuliko mimi
Sasa si ungemwambia yeye mwenyewe hayo mapungufu yake? 😀
Polisi huwapendi au una waogopa
 
Uloposema tu kawa polisi basi hapo penzi ni kwishney.

Me akiwa poti ni sawa kua na Ke yeyote ila Ke akiwa poti acha aolewe na poti mwenzie.
Tayari dunia ilishambadilisha na sio yule wa shule.

Matumizi mabovu ni kawaida ya watumishi wengi wa serikali.
 
Mbona unalilia sana mkuu, anyway pole vidume tunajikaza hatuliilii hovyo.
Wengine tushaumizwa moyo umekuwa na ganzi, unaempenda wewe kapenda na mwingine, mwingine nae kapendwa na mwingine, huyo mwingine nae ana mwingine moyo sukuma damu so mashine.
Hajampenda mwingine mkuu muda wowote alikua tayar nimepeleke barua or posa kwao yaani ni icho kilibaki na alikua anamaanisha kweli na mimi nilipanga hivyo lkn nimeamuaa maamuzi mengine kama wangu tu Mungu alinipangia basi atanisubiri bila kumwambia anisubiri
 
Hajampenda mwingine mkuu muda wowote alikua tayar nimepeleke barua or posa kwao yaani ni icho kilibaki na alikua anamaanisha kweli na mimi nilipanga hivyo lkn nimeamuaa maamuzi mengine kama wangu tu Mungu alinipangia basi atanisubiri bila kumwambia anisubiri
sawa subiri
 
Umefanya la maana sana. Hao jamaa ni majambazi wenye magwanda, angeweza hata kukusukia mpango uibiwe.

Halafu huko madepo wanatafunwa kama muwa. Ni mwendo wa kuhamishwa toka afande mmoja kwenda kwa mwingine.
ARV zenyewe za tabu sasa hivi
Ni kweli mkuu hata mimi nawatafuna huku mtaani kwa kazi niliyo nayo kuliko anavyotafunwa yeye. Kingine yeye alishamaliza kozo
 
Muache aende mapenzi sio kulazimishana . Ikiwa unaona Huna maamuzi kwenye huo upendo achana nao .nikukumbushe tu kuwa tunaoa wanawake tusio watarajia.mungu amekadiria hivyo.
Naamini hata mimi lkn hata hivyo naomba apate mwanaume bora ili aje anisahau kabisa mimi mkuu
 
Mkuu sitakuja ku msahau kabisa kamwe atabaki kuwa role model kwa wote watakao fuata na hakuna atakae kuja kumfunika.

Lkn wacha ni move on maisha mengne yaendelee. Hakuna namna
Huwezi ku move on bila kumsahau
 
Utoto raha
Mkuu imenibidi nikaangalie profile yako kwanza wewe ni nan kwenye hili jukwaa lkn nimegumdua kuwa ni mkongwe sana since 2015. Hata hivyo lazima mimi nitakuwa mdg wako kwa hiyo hujakosea kuwa mimi ni mtoto
 
sizitaki mbichi hizi, bora umejua mapema maana ya akufukuzae hakwambii toka.
Hajanifukuza mkuu na hana ubavu kila kitu nimemzidi elimu na ukongwe kazin tena yey kaajiliwa kwa kutumia chet cha 4m4 uko jeshini aje apande vyeo anifikie mimi nipo mara 7 yake
 
Umefanya uamuzi sahihi... Hongera mbwa wewe hukujidanganya kuoa... Hongera zako umefunguka akili mapema...
Kataa Ndoa uishi kwa amani uimarike kiuchumi... Ndoa ni mauzauza ushetani umasikini upuuzi ushamba na utoto...
Enjoy maisha yako, zalisha tu mzee baba wanawake wapo wengi ila sio wakuweka ndani...
Sasa ulivyo mpuuzi rogwa jichanganye uoe au umrudie huyu kiumbe dhaifu ndio utajua shetani na mwanamke ni baba mmoja mama mmoja
Hapa kuna ukweli 😀
 
Back
Top Bottom