Kukishakuwa na SoulBond hakuna wa kuwatenganisha. Ogopa sana Kiumbe kinachoitwa Mwanamke. Mimi Nina mchepuko mwaka wa 5 huu ameolewa na kati ya watoto wake watatu mmoja ni Wangu Hilo Halina Ubishi. Alivyojifungua ikapita miezi 6 alisafiri kunifwata Dar--Mbeya eti kaniletea zawadi ya mtoto Wangu na Ukimcheki dogo Leo Ni Copy Yangu. Ogopa sana Mwanamke akipenda