Nimeamua kutembea na kulala nazo pesa kitandani

Kataa ndoa point 3 hizo muhimu
Kataa ndoa,tunza kibunda chako πŸ˜‚

Hapo umeibiwa 60K bado kugongewa
 
Wewee lala na Hela mkuu,wahuni watalalaa na shemeji alafu wamtie mimba πŸ˜„ alafu hzo Hela unazo lala nazo zitalea mimba c Yako na mtt c wako tuone nani ana hasara kati Yako na shemeji shenzii kbsπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Unaishi na malaya au wife material 😳😳

ss mke anakuwaje mwizi Tena πŸ˜‚πŸ˜‚
Hujaacha pesa ya chakula unaanza kusema malaya,acha akwapueπŸ˜„πŸ˜„ si zenu wote nini maana ya kuwa mwili mmoja ni vya kwenu vinavyopatikana ndani ni mali halali ya wote
 
Ukimkazia sana ata choka atamsimulia shoga yake.shoga yake atamwambia shida ndogo hiyo.nyunyiza limbwata na utakaaa at end of de day.au unakaribisha wakuchapie ataokuwa anawaomba vi buku 2
 
Pole sana mkuu. Unaonekana umekasirika sana.
 
Wewee lala na Hela mkuu,wahuni watalalaa na shemeji alafu wamtie mimba πŸ˜„ alafu hzo Hela unazo lala nazo zitalea mimba c Yako na mtt c wako tuone nani ana hasara kati Yako na shemeji shenzii kbsπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Kwa hiyo ashauriwe kuzipeleka benki.
 
Usimbane sana kibajeti mkeo lasima atakuibia au ndiyo kuchepuka
 
Ngoja boda boda wakajisevie huku wakimuhudumia chai ya asubuhi.
Mwanamke Haliziki, Kuna mshikaji alikua anakua anamuachia mke 1m par mouth na baadhi ya vitu ana mninunulia pia ana nyumba kama Saba za kupangisha, Mke akaliwa na mpangaji wake. usimuamini mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…