Nimeamua kuvuta bangi ili kutatua matatizo haya

Hahahah asante kwa ushairi wa nyota tank boss ila nakushauri urudi kwenye ule wa ADUI WA MAENDELEO yani mtu unaenda bar na laki mbili umepanga kutumia elfu 20 asubuhi unarudi nyumbani na buku tano mfukoni na hofu juu imekutanda maana unakumbuka zilipopanda ukang'oa mlupo ukafanya ngono zembe mkeo hujakaa sawa mara umejitapikia mnimg'inio unakupa mawenge unajisika hovyo unashindwa kwenda kwenye mihangaiko yako ya siku...
DONT DRINK AND DRIVE
SMOKE AND FLY HIGH
 
Ni kweli.
Mwanume wa kweli hufanya mambo kwa kipimo na malengo
 
We gonga to mshikaji si ulishaamua. Ungetushirikisha kabla ya kuanza
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata huku kwetu ni hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
The same kwetu
Nnae mwanangu m1 N’doto, Ndo huwa ananifanyiaga mafekeche, natumia ila kuroll sijui so huwa nampa Kazi ya kuroll Nkitoka job napitia
1stick Inanitosha

Only for relaxation and meditation 🧘‍♀️
Mda mwingine Kurelieve Pain
 
Hiii hii Bangi ambayo ikusaidie "ukivuta nzi unamuona kama hedikopta!!!"
 
The same kwetu
Nnae mwanangu m1 N’doto, Ndo huwa ananifanyiaga mafekeche, natumia ila kuroll sijui so huwa nampa Kazi ya kuroll Nkitoka job napitia
1stick Inanitosha

Only for relaxation and meditation [emoji3284]
Mda mwingine Kurelieve Pain
Ina release pain gani mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah kitu cha strawberry paper hicho hizo paper unanunuaga wapi mwanangu mi napendaga za lemon ila jamaa anaenileteaga now yupo zenji nipe direction mkuu
Huwa sinunui pepa mkuu , Hata kuroll sijui kuna mwana (Pusha) Huwa nampa tenda anaroll Napitia ila nitamuuliza anapata wapi nitakujulisha
 
Ina release pain gani mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
maumivu ya kichwa
Viungo
Huwa siitumii kama kilevi most of time
Huwa natumia Pembeni nakula matikiti, Machungwa, Au juice yeyote natural au maji
Kwa kuwa ukitumia maji yanakauka mwilininkwa kiasi kikubwa

Sijawahi jutia kutumia 🚬

MTUMIAJI USIZIDISHE
 
Basi kwangu haijawahi kuwa dawa ya maumivu, nikiwa naumwa nikatumia maumivu yako pale pale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi kwangu haijawahi kuwa dawa ya maumivu, nikiwa naumwa nikatumia maumivu yako pale pale

Sent using Jamii Forums mobile app
Baadhi ya nchi bangi hutumika kama dawa hii ni true kabisa kiscience pia mafuta yatokanayo na mmea wa bangi ni dawa kiboko kabisa ya sikio kwa sisi tunaomoka tunaitumia kama dawa ya depression Mara moja moja japo sio suluhisho ila kwa kurelax bangi ni kiboko alcohol inasubiri mbali sana
 
Shida 1 ya Marijane ni kiu/Kupungukiwa na maji ani utajilamba mpaka basi ,
I respect ✊ Marijuana
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…