Nimeamua kuwa na Mchepuko. Mke Haeleweki, mawasiliano kila siku na wakwe, mashemeji, mawifi, wa X- Wake

Pole mkuu, Ila 'two wrongs don't make it right'..!!

Unauza hadi nyumba uliyokuwa unaijenga kwa ajili ya wanao..? kisha ndiyo uwe busy na mchepuko..?

maskiini..!!
Unajua kinacho fuata baada ya mawasiliano ya mke na wakwe wa ma x zake ....? Hapo mke ataomba talaka hiyo nyumba itagawanywa alafu ili iwaje....?


Mkuu umecheza kama pele wasikuchanganye hawa mademinist
 
Inaonekana nyumba ilikuwa kwa jina la mke wake... Vitabu vitakatifu vimeandika tuishi nao kwa akili...
 
Achana nae oa mwingine
 
Mchumba kuwa na mawasiliano ya mara kwa mara na Mashemeji wa X wake
Kumbe alianza zamani tangu uchumba? Ukaona haya mambo madogo tu ataacha! Ona sasa anavyokuhangaisha akili aisee! Achana nae atakuua huyo ama mtauana
 
Kwani unashindwa kuachana nae kivipi unaishi kwa mateso kiasi chakufanya maamuzi ya ovyo wewe ni family leader. To tell u the truth mzee mwenzangu umekurupuka.
 
Pumbavu wewe!!
Hivi umeona hiyo ndio point ya kuk kuongea kwa sisi wanaume wenzio mkuu?

Labda kama unatutania
Huwez kua seriously ukafanya upuuzi huo

Hadi kufikia hatua hiyo tayari kuna poit ulizipoteza wewe kama mwanaume!!!
Mwanamke hawezi kufanya
Mwanamke akisha soma tu ushaifu wako basi jua umekwenda na maji na hicho ndio kilitokea

Inawezekana vipi umkataze kitu mkeo afu arudie
Na unamuacha tu? How
Hadi kufikia point ta kurudia maana yake alikuona wewe zapunga
 
Hasira hasara siku zote usitoe maamuzi ukiwa na hasira, kama haya uliyoamua ya kuuza nyumba hapo umechemsha hata kuwa na mchepuko siungi mkono, maana sio suluhisho la tatizo bali umejiongezea matatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…