Nimeamua kuwa na Mchepuko. Mke Haeleweki, mawasiliano kila siku na wakwe, mashemeji, mawifi, wa X- Wake

Nimeamua kuwa na Mchepuko. Mke Haeleweki, mawasiliano kila siku na wakwe, mashemeji, mawifi, wa X- Wake

Pole mkuu, Ila 'two wrongs don't make it right'..!!

Unauza hadi nyumba uliyokuwa unaijenga kwa ajili ya wanao..? kisha ndiyo uwe busy na mchepuko..?

maskiini..!!
Unajua kinacho fuata baada ya mawasiliano ya mke na wakwe wa ma x zake ....? Hapo mke ataomba talaka hiyo nyumba itagawanywa alafu ili iwaje....?

Mkuu umecheza kama pele wasikuchanganye hawa mademinist
 
Ukiona unafanya jambo ili kumkomoa au kumridhisha mwanamke bado haujafika kwenye level ya wanaume rijali.

Unauza nyumba kumkomoa mwanamke? Nimehuzunika sana

Mwanamke huwa hapotezi, anaweza kuolewa tena na ex wake. Wewe je? Umepanga hautaki kujenga unafikiri unamkomoa mwanamke,watoto wanakua wakubwa anaenda kuishi kwa watoto, wewe je?

Jenga nyumba, kusanya mali za kutosha ili uzeeni uishi vizuri.
Shida ipo kwako kuoa mke wa mtu, ulitakiwa ufukuzie mbali mapema kabla ya kuoa
Inaonekana nyumba ilikuwa kwa jina la mke wake... Vitabu vitakatifu vimeandika tuishi nao kwa akili...
 
Leo nimeamua kutafuta Mchepuko,baada ya kuona mke nilie nae Haeleweki. Tatizo kubwa linalonikera kwa mke wangu, ni mawasiliono na ndugu wa X-Wake(wakwe,mashemeji,mawifi,nk)

Nimejaribu kumueleza Hilo Jambo silipendi Naona mke wangu Hilo Jambo linaendelea, Sasa nimeamua kutafuta tu Mchepuko,ingawa haikua dhamira Yangu kua na Mchepuko.

Nilikua najenga Nyumba Ila kutokana na Mazingira ya mke wangu siyaelewi nimeuza hiyo Nyumba last week.

Mke wangu ameniomba Mara kadhaa Baadhi ya Mambo nimeshindwa kumtimizia kutokana na Hilo Tatizo ambalo kila Ni kimkataza anaendelea nalo. Mambo alioniomba yapo ndani ya uwezo wangu lakini,nilimjibu Sina uwezo huo.

Nimeona Bora kutafuta Mchepuko Maisha yaendelee. Yeye aendelee kuwasiliana na wakwe,mashemeji, na mawifi wa X-wake, na Mimi ntakua nawasiliana na Mchepuko wangu.
Achana nae oa mwingine
 
Mchumba kuwa na mawasiliano ya mara kwa mara na Mashemeji wa X wake
Kumbe alianza zamani tangu uchumba? Ukaona haya mambo madogo tu ataacha! Ona sasa anavyokuhangaisha akili aisee! Achana nae atakuua huyo ama mtauana
 
Kwani unashindwa kuachana nae kivipi unaishi kwa mateso kiasi chakufanya maamuzi ya ovyo wewe ni family leader. To tell u the truth mzee mwenzangu umekurupuka.
 
Pumbavu wewe!!
Hivi umeona hiyo ndio point ya kuk kuongea kwa sisi wanaume wenzio mkuu?

Labda kama unatutania
Huwez kua seriously ukafanya upuuzi huo

Hadi kufikia hatua hiyo tayari kuna poit ulizipoteza wewe kama mwanaume!!!
Mwanamke hawezi kufanya
Mwanamke akisha soma tu ushaifu wako basi jua umekwenda na maji na hicho ndio kilitokea

Inawezekana vipi umkataze kitu mkeo afu arudie
Na unamuacha tu? How
Hadi kufikia point ta kurudia maana yake alikuona wewe zapunga
 
Hasira hasara siku zote usitoe maamuzi ukiwa na hasira, kama haya uliyoamua ya kuuza nyumba hapo umechemsha hata kuwa na mchepuko siungi mkono, maana sio suluhisho la tatizo bali umejiongezea matatizo.
 
Back
Top Bottom