Dumuzii
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 3,593
- 8,595
Unajua kinacho fuata baada ya mawasiliano ya mke na wakwe wa ma x zake ....? Hapo mke ataomba talaka hiyo nyumba itagawanywa alafu ili iwaje....?Pole mkuu, Ila 'two wrongs don't make it right'..!!
Unauza hadi nyumba uliyokuwa unaijenga kwa ajili ya wanao..? kisha ndiyo uwe busy na mchepuko..?
maskiini..!!
Mkuu umecheza kama pele wasikuchanganye hawa mademinist