Nimeamua niachane na mke wangu sababu muonekano wake haunivutii

Nalo litapita,Mwenyez Mungu amtie nguvu
 
A wise man once said " "
 
Hv bado kuna wanaume wanaoa kwa kigezo cha shape au tako?
Mke ni Package asee! Uzuri na Shape ni vya muhimu hata kidogo basi uwe unapata midadi ukimuona mnapokua wawili uwe u aweza kupandisha mnazi. Mambo ya Tabia na Akili hufuata baada ya kuona kama anafaa kwa matumizi. Kukaa na mwanamke hakuvutiini zaidi ya Jela.
 
Nawashangaa wanaombishia mtoa maada. Asee mwanamke asiyekuvutia n vgumu sana kuishi naye. Nina dem flan hv tuna mahusiano miaka kadhaa, hajawahi omba hata mia, kuja kwangi anatumia nauli yake, ananiletea na mazawadi, ananipa mbususu mda wwte nkitaka.

Ila sjawahi kumtamkia neno "nakupenda" kwa sababu staki kusema uongo. Anaweza npigia smu akanambia amenimiss lakn sjawahi kumjibi kwamba nimemmiss.

Saiz nko mkoani kikaz, mwez huu kapewa likizo kazn kwake anataka kuja lakn nmemdanganya kwamba nimesafiri kuna emergency kazn ili tu asije.

Naunga mkono mtoa maada. Mwanamke ukikosa hisia nae hata mbususu yake unaiona ya ajabu. Kuna sku nlikua namtomber huyu dem zkapita dakika 40 wala hakuna dalili za kukojoa afu kakauka knoma ikabidi nianze kuvuta hisia kwa demu nlomuona kariakoo mchana, hapo ndo nkamwaga.

NSHAMWAMBIA KABSA SINA MPANGO WA KUKUOA MANA ANA MIAKA 27 AFU NAONA KANIGANDA KAMA KUPE.
 
Sio nashindwa kumtunza, sasa hata anunue nguo gani akivaa hamna kitu, unamtunza vipi mtu wa hivi?



[emoji38][emoji38][emoji28]

Ukute umerogwa na Mchepuko umewafarakanisha na mkeo jomoni [emoji14]

Sasa si umwambie aanze kufanya diet?

Halafu ukute ni mke tegemezi ikiwa hivyo atakuchosha mara mbili!
 
Wew upo sahihi huyu alimuoaa kabisaa alafu leo anaanza kujiongeleshaa hapaaa...!! Kiukweli mwanamke ni mzuri kabla hujamlala ilaa ikishamlala na bado ukaendelea kumuona ni mzuri mpaka ukafikia stage ya kumuoaa bhasi ukija kumuacha kwa kigezo cha ubaya unazingua sana.
 
Duh!...
 
Keshasema ni kibanzi aka kimbaumbau



Wakati wa hivyo ndio super sasa !

Ampige supu na Malost ya samaki na nyama aone kama hatafutuka.

Mleta mada wewe radha yako ni Bantu group?

Hutaki slim fit ?

Ungejua werevu wanalipa hela chungu nzima ili wawe wembamba usingaliandika hayo.

Eti shape hana,

Umri wako tafadhali.
 
Hii ni dalili moja wapo ya mental health issue.. tafuta psychologist haraka sana..
 
Nahisi ulianza uhusiano naye ukiwa huna pesa now umepata you can afford wale unaowataka.
Hii inatokea kwa wanaume wengi, wanaowataka hawawafford so wanaoa wale wanaowafford halafu maisha yakichange anaanza chepuka na anaowafford
Kwelo asee, ukiwa huna hela piskali hazkutaki unaenda kuoa mwanamke sura ya maandamano, akicheka kama analia.

Sku ukipata hela, piskali znajileta unaanza kujiuliza hv huyu mwanamke kwa nn nilimuoa hasa????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…