MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Yeah kila la kheri kwake!
Ingekuwa n hvy bc watu wasingekuwa wanachepuka, hayo mapishi yapo kwenye ladha. Mana hata hvy viungo n tofauti.
Mchukue mshamba_hachekwiNimeamua nibadilishe type za wanaume π
Sasa hivi my preference is
1. Awe mwanaume mshamba, wazazi wake wapo kijijini
2. Amesoma kwa shida sana
3. Kapitia changamoto za maisha nyingi
4. Awe na akili nyingi Yani zile za kuzaliwa akili za kupambana na maisha
5. Awe na hofu ya Mungu na awe anafanya ibada frequently
6. Starehe za duniani sio priority yake , yeye anawaza ku invest
7. Ambaye ametoka kwenye familia ya baba moja na mama moja , hawa Ndio huwa wanajua umuhimu wa ndoa
8. Na awe na dada zake wa kuzaliwa nao, Hii humfanya aone thamani ya wanawake na kuto kuwa treat hovyo
9. Awe anatumia smartphone ya kishamba ππππ
10. Na hajui fashion anajivalia tu bora mradiππππ
The list goes on ππππππ
Hawa ni WANAUME 13 tofautiNimeamua nibadilishe type za wanaume π

Sio kweliUtamaliza bucha nyama ni Ile ile
Kwani huyo Bi-Dada ni wa AR?Baada ya kutumika sana zile dakika za jioniiiii ndio unaanza selection waachie vijana wa dread waendelee kujipigia
Humu hakunaga woi atasearch hadi kerooDada Maua katika one and two.
Babu mie sijamboo, vipi wee hali yako?Kumbe huyu ndiye, nilidhani tumsubiri mwingine [emoji28] [emoji847] [emoji119]
Hujambo lakini Mjukuu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huwa kila nikijitahidi kusoma nyuzi za huyu mtu ubongo huwa unanigomea kabisa kukubali kuwa ni mwanamke
Em sema kweliii, [emoji23][emoji23][emoji23]Umeshachakatwa mpaka umechakaa unataka kuja kufia kwa sisi ma good boy
Uzinzi ni kitu kibaya sanaNimeamua nibadilishe type za wanaume π