WENYELE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,433
- 1,442
Awali ya yote niwashukru nyote wanajukwaa hili kwa msaada wenu mkubwa wa kuelimisha kuhusu magari hasa sisi tusio wazoefu.
Baada ya utafiti kupitia humu kama miezi 6 hivi nimeamua nichukue Mitsubishi Pajero badala ya SUV mid size za Toyota.
Hii gari ina cc 2970 na 127,000km, ina seat 7 na ni ya mwaka 2007.
Iko grade 4 kwenye mnada wa magari.
Kazi yangu kubwa ni kifamilia tu ikiwemo kazini na route za kutoka kanda ya Kaskazini kwenda Kanda ya ziwa pamoja na familia.
Mnaonaje wataalam itanifaa? Nisaidieni kumtag Mshana na wataalam wengine nipate maoni yao.
Asanteni
NB: Swala spare na mafuta si tatizo sana naweza nikamudu