Nimeamua nichukue hii Ndinga; Una maoni gani ya kitaalam nauzoefu

WENYELE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,433
Reaction score
1,442
Awali ya yote niwashukru nyote wanajukwaa hili kwa msaada wenu mkubwa wa kuelimisha kuhusu magari hasa sisi tusio wazoefu.

Baada ya utafiti kupitia humu kama miezi 6 hivi nimeamua nichukue Mitsubishi Pajero badala ya SUV mid size za Toyota.

Hii gari ina cc 2970 na 127,000km, ina seat 7 na ni ya mwaka 2007.
Iko grade 4 kwenye mnada wa magari.

Kazi yangu kubwa ni kifamilia tu ikiwemo kazini na route za kutoka kanda ya Kaskazini kwenda Kanda ya ziwa pamoja na familia.

Mnaonaje wataalam itanifaa? Nisaidieni kumtag Mshana na wataalam wengine nipate maoni yao.

Asanteni
NB: Swala spare na mafuta si tatizo sana naweza nikamudu

BK669002_94bbe5.jpeg

BK669002_029e47.jpeg

BK669002_a37055.jpeg
 
Hongera sana mkuu mi hapa niko kwenye daladala nimekaa na mmama kala vitunguu swaumu anatoa harufu balaa
Yote maisha kaka, tuna safari moja ila huwa tunatofautiana vituo tu.
Huenda nami nimekaa kwenye hali uliyonayo kwa miaka mingi ila saiv ndo nataka kushuka kituo kinachofuata.
Asante kwa pongezi kaka
 
Chukua ya Diesel Yenye injini ya 4M40 hii Ina 2800cc na inatumia mafuta Vizuri sana. Mafundi na spea zinapatikana kila sehemu Maana hii injini ipo sokoni miaka mingi imetumika kwenye Mitsubishi Canter na Rosa pia Pajero za zamani.

Kuna 4M41 Hii imeboreshwa Zaidi na Ina nguvu Zaidi, inataka umakini sababu inatumia mifumo ya umeme Zaidi.

Kwa upande wa Petrol Kuna 4G72 Hii ni V6 Iko poa kama ni mtu wa kupenda mbio, umakini unatakiwa katika mafuta Hii ni Gasoline Direct Injection
 
Umesema vyema kabisa kaka!

Kwa lugha nyepesi kama ni Toyota tunaita D-4
 
Asante mkuu, nayo ina seat 7?
Haiwezi Kuwa sawa na Mitsubishi Pajero, labda Kwa idadi ya Siti hizo 7. Hiyo Suzuki mwenzake ni Mitsubishi Outlander.

Hizo Pajero linganisha na Land Cruiser,Nissan Patrol,Discovery. Hizi Pajero ni full SUV na Kuna nyingine Zina package ya Air Suspension na technology za kisasa Zaidi za 4wd.
 
Ndio, Suzuki Grand Escudo Ina Siti 7
 
Chukua ya Diesel Yenye injini ya 4M40 hii Ina 2800cc na inatumia mafuta Vizuri sana. Mafundi na spea zinapatikana kila sehemu Maana hii injini ipo sokoni miaka mingi imetumika kwenye Mitsubishi Canter na Rosa pia Pajero za zamani.

Kuna 4M41 Hii imeboreshwa Zaidi na Ina nguvu Zaidi, inataka umakini sababu inatumia mifumo ya umeme Zaidi.

Kwa upande wa Petrol Kuna 4G72 Hii ni V6 Iko poa kama ni mtu wa kupenda mbio, umakini unatakiwa katika mafuta Hii ni Gasoline Direct Injection
Asante sana, hii inatumia Petrol lakini ngoja niangalie km nitapata ya diesel.
Mimi ni mtu conservative kidogo ila ni technology outgoing person.

Suala la mbio si muumin kabisa ila napenda kuwa na gari inayokidhi vigezo hivyo tu basi.
Sipendi show off pia, I am just person who seats at the back bench and kept quite like no body ila with potential.
 
Awali ya yote niwashukru nyote wanajukwaa hili kwa msaada wenu mkubwa wa kuelimisha kuhusu magari hasa sisi tusio wazoefu.

Baada ya utafiti kupitia humu kama miezi 6 hivi nimeamua nichukue Mitsubishi Pajero badala ya SUV mid size za Toyota.

Hii gari ina cc 2970 na 127,000km, ina seat 7 na ni ya mwaka 2007.
Iko grade 4 kwenye mnada wa magari.

Kazi yangu kubwa ni kifamilia tu ikiwemo kazini na route za kutoka kanda ya Kaskazini kwenda Kanda ya ziwa pamoja na familia.

Mnaonaje wataalam itanifaa? Nisaidieni kumtag Mshana na wataalam wengine nipate maoni yao.

Asanteni
NB: Swala spare na mafuta si tatizo sana naweza nikamudu

View attachment 2116765

View attachment 2116766

View attachment 2116767
Nzuri,ila ungepata ya black,halafu kule juu unakuta ina sunroof na roofrails huwa inapendeza sana...
 
Back
Top Bottom