Nimeamua sasa kuachana na ualimu na kwenda kusoma

Wew ndo umetoa ushauri wa maana sana aisee Tena ardhi akiwekeza soon anakuwa tajiri mdogo
Sikatai kwa hili achague yeye ni long investment au short?

ardhi mpaka uje kuifaidi ni muda ingia google tafuta liquid investment ama paper investment download kitabu kinaitwa cashflow quadrant by Robert Kiyosaki ukae chini ukisome na ukielewe Onyo usiache kazi kusoma hicho kitabu.
 
I am a psychotherapist and a linguist .
 
bado haujaijua betting unafanya utani
 
kwa huyu dogo bora aache hivi vitu ni bahati kamwe usijemtupa shimoni angali mbichi kijana wa watu.

Sijashuhudia mtu aliyefanikiwa sana kwa kutegemea kubet ni wachache sana ndio maana huitwa mchezo wa kubahatisha.
Ndio maana nikasema bado haujaijua betting ni haki Yako kusema hivyo
 
For me ungefanya biashar kw hela uliyokuwa nayo unaweza kufanya bishar na ukafanikiwa kaka mkubwa.
 
Pesa unayo komaa na biashara kijana bila shaka unaogopa kuthubutu
 
OUT wanatoa IT/ computer science pia kama ndo tamanio lako,check prospectus yao
 
kama ulikuwa unakunja laki tano kwa mwezi karume ni kitu gani kilikusukuma uache hiyo kazi yenye pesa mpaka kuamua kuomba ajira za TAMISEMI? hiyo milioni 15 umeipataje pataje mkuu huko kwenye kazi yako ya ualimu? pia unataka ukasomee IT ili upangiwe kwingine hivi unaijua sheria ya ajira za TAMISEMI kweli? maisha ni popote mkuu mtaji wako ni afya njema na akili ya kuona fursa pia mfano wa kijiwe cha kahawa kwa huo mtaji ni biashara kubwa sana sema huwezi kuelew
 
Sasa kama unaona dar inalipa si uje huku dar?Fanya mchakato hamia dar
 
Mkuu,
Endelezeni minyukano ya hoja sisi tunafuatilia kwa ukaribu Sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…