Nimeamua sasa kuachana na ualimu na kwenda kusoma

Mm nimekaa kigoma almost 6 yrs Wilaya ya buhingwe manyovu border
Ww tuliza mshono mdogo wangu hizo 15ml amekukopeaha nan?
Salary yenywe haifiki hata 600k ww
Ww akili Yako Bado ndogo Sana kutokana na utoto na umri wa kazi Na hujui kazi za serekali zinavyoenda
Tafuta mtoto mzuri wa kiha uwe unajionyoshea huweza akakupa changamoto mpya ya akili na mwili
 
Nilipata mikopo ya hazina million 19, nne ninakunua kiwanja mwanza, zingine ndio hizo zilibaki
 
Wewe miaka 6 uliyokaa huko manyovu Kuna kitu cha ziada ulichokipata ukajivunia?
 
Watu wana Masters za information technologies wapo kitaa,jichanganye tu utakumbuka Kigoma.Omba uhamisho nenda Mjini ukatimize ndoto zako,kamwe usiache kazi
Nielewe mkuu, sijaacha kazi nataka nisome nikafanyiwe recategorization, pia kua ndani ya ajira (check no) ni rahisi kuliko ambaye yuko nje ya mfumo.
 
Anza kusoma Open University..
Masters ya kitu kingine haitakuongezea kitu kwenye ajira na huwa wanabania wakijua unataka kudiverge kutoka kwenye msingi wako wa elimu ya shahada,

Kwa vile tayari una shahada/degree hawatakuruhusu kwenda kusomea ngazi hiyohiyo ya elimu watakupiga mizengwe..


Ukiamua kuwapiga ujanjaujanja kwenye ruhusa ama aina ya masomo kama ni kauzibe watakufungia mshahara au hata kukushitaki...


KAMA HUNA MPANGO WA KUACHA SERIKALINI BASI SOMA DEGREE UITAKAYO OPEN UNIVERSITY, UKIMALIZA ANZA UTARATIBU WA KUOMBA KUBADILI MUUNDO WA AJIRA AU HATA KUOMBA TAASISI NYINGINE ZA SERIKALI NJE YA MKOA WA KIGOMA.. PAMBANA UPATE GPA NZURI.

Hiyo hela yako iwekeze UTT ijizalishe,

Goodluck
 
Kuajiliwa kwa mtu wa kuungaunga tena kwenye mambo ya kushika chaki (mbaya zaidi kigoma?). Nakushauli hama mkoa njoo Dar maeneo ya mbezi mwisho tafuta kona anzisha biashara. Ila zingatia hili: MAFANIKIO YA BIASHARA = AKILI + BUSARA + NGUVU ZA KIROHO
 
🀣🀣🀣🀣 mdogo wangu hajapata kazi Miaka minne sasa
Kwani Mimi naomba kazi upya au nabadilishiwa muundo? Tofautisha kati ya mtu anaeanza upya kuomba ajira na alieko ndani ya system tayari.
 
Mtaa achana nao kabisa hauko simple kiasi hicho
Kwani Mimi naomba kazi upya au nabadilishiwa muundo? Tofautisha kati ya mtu anaeanza upya kuomba ajira na alieko ndani ya system tayari.
 
Nakushauri nenda kasome Course inaitwa HSM(Health Service Management) Ukatibu wa Afya inapatikana Mzumbe University na St John University sijajua kama UDOM wameanza kutoa.
Faida yake ni kwamba ukifanyiwa Recategorizing Salary haitoshuka wanatumia viwango vyao vya Salary ambavyo nitofauti vya Food n Nutrition ambavyo salary Yao iko chini.
Pia IT ni nzuri sana na wakikufanyia recategorizing hutoathirika Salary wananzia TGS E ambayo ni Million na kidogo.
Mm nimesoma Degree ya Educationa nimeona NILIKOSEA nimeamua kurudi tena kusoma Health Service Management namaliza mwakani, ila ni msoto mkali sana aisee no Boom lakini najua nilimaliza tu nitakuwa pahala sahihi sana.
 
Niko manispaa mkuu, mjini hapa, at least ninakuelewa, ningepata nafasi ya kuhama kwenye manispaa au majiji nisingefikiria kwenda kusoma maana ningeanzisha biashara immediately, lakini akili haijatulia kwa sababu sioni fursa za biashara kabisa, mji mgumu huu, Bora kasulu kuliko mjini hapa.
 
Kuajiliwa kwa mtu wa kuungaunga tena kwenye mambo ya kushika chaki (mbaya zaidi kigoma?). Nakushauli hama mkoa njoo Dar maeneo ya mbezi mwisho tafuta kona anzisha biashara. Ila zingatia hili: MAFANIKIO YA BIASHARA = AKILI + BUSARA + NGUVU ZA KIROHO
Nimetenga mpaka 1.5 m nihame huu mkoa, nifike hata kibaha tu lakini Ngoma imekua ngumu, nadhani kwa sababu sijampata mtu sahii wa kunifanyia mchongo.
 
Shukrani sana at least nimepata mtu mwenye mawazo kama ya kwangu, IT walinambia salary hawashushi.
 
Shukrani sana mkuu, kwa sababu ndoto zangu ilikua ni IT na nikaona open university hawatoi hiyo kozi upande wa degree, ndio nikaja na hiyo idea ya uhasibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…