Ina nini kipya cha maana kinachonheshwa ili kumvutia mtalii kuja hapa nchini?
Kuvua Samaki huko baharini Zanzibar? Wachimba Tanzanite wakizama kwenda kublast mwamba wavutia utalii?
Naona ilikuwa Fursa ya wasiompenda hayati kumchamba juu ya ukaidi wa Kovidi na alikufa kwa kovidi.
Kwanza nimeshangaa hata walivyomuongelea humo heri wangemuandalia makala yake wamnange vizuri!.. Sasa mbovu mbaya inamuharibia hata rais mwenyewe maana Kama alisema alikufa kwa matatizo ya moyo leo kovid basi alitudanganya wananchi wake!.
Hakuna mwenye hakika wanajua huko juu alikufa na nini huku sisi tupambanie makombe mengine...waliokuwa wakimsakama Lissu kuhusu chanzo cha kifo cha Jpm wanapaswa kumuomba radhi.
Hakuna mwenye hakika wanajua huko juu alikufa na nini huku sisi tupambanie makombe mengine.
wacha twende taratibu ipo siku tutaujua ukweli na hisi kuna kitu hakiko sawa na wanajua na nafsi zao zinawasuta MWENYEZI MUNGU uturehemuKwanza nimeshangaa hata walivyomuongelea humo heri wangemuandalia makala yake wamnange vizuri!.. Sasa mbovu mbaya inamuharibia hata rais mwenyewe maana Kama alisema alikufa kwa matatizo ya moyo leo kovid basi alitudanganya wananchi wake!.
Point yangu umeielewa lakini..?..hujasikia Maza amesema nini kwenye hiyo video?
..yeye ndiye Mtz mwenye vyanzo vingi na vya uhakika vya taarifa kuzidi wote.
Su-gang on move...!huu ni wakati wa wengine kubalini tu kwa kweli,"mtapata tabu sana"Ina nini kipya cha maana kinachonheshwa ili kumvutia mtalii kuja hapa nchini?
Kuvua Samaki huko baharini Zanzibar? Wachimba Tanzanite wakizama kwenda kublast mwamba wavutia utalii?
Naona ilikuwa Fursa ya wasiompenda hayati kumchamba juu ya ukaidi wa Kovidi na alikufa kwa kovidi.
kila siku napishana na watalii hapa ZanzibarIna nini kipya cha maana kinachonheshwa ili kumvutia mtalii kuja hapa nchini?
Kuvua Samaki huko baharini Zanzibar? Wachimba Tanzanite wakizama kwenda kublast mwamba wavutia utalii?
Naona ilikuwa Fursa ya wasiompenda hayati kumchamba juu ya ukaidi wa Kovidi na alikufa kwa kovidi.
wakati huo Mwendazake aliwaita wanaume wa shoka akiwa pale UbungoNdio sababu ya kumnanga kwa mabwana zenu?
Sisi hatujaiangalia hiyo royo tua,wamemuelezea magu kwenye ishu gani??Kwanza nimeshangaa hata walivyomuongelea humo heri wangemuandalia makala yake wamnange vizuri!.. Sasa mbovu mbaya inamuharibia hata rais mwenyewe maana Kama alisema alikufa kwa matatizo ya moyo leo kovid basi alitudanganya wananchi wake!.