Nimeangalia filamu ya Royal Tour. I was not impressed. Itawakera sana baadhi yenu

Umei download hile application [emoji16][emoji16][emoji16] tambua kwamba you are next to die [emoji1782]

Ahahahahahaa sirudii tena kuangalia muvi za aina hii nikiwa pekeyangu usiku tena nimebwia mvinyo ....

Nililala kwa shida sana usiku ule....

Niliumia sana yule black alivyokufa kwa kugongwa na gari....

The way he dies, process shows the path between life and death....

Ile app ni konyooo, fundisho kuto ku accept vitu ambavyo havieleweki...
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Huwezi amini mtu wangu hii movie imenifanya niwe muoga na vi applications nisivyovijua si download kabisa imenitoa kwenye fiction na kuniletea kwenye real life[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]wanavyokufa utafikiri kweli mzungu ni balaa sio kwa ufundi huo mpaka mtu unaogopa
 

Saanaaa yaaniii, inatisha simu yako mwenyewe ila mauza uza kama yoteee...

Uchawi upo sio lazima uwe wa tunguli...πŸ˜…

Na sio tuu application, link zozote ambazo sizielewi zinatumwa kwenye emails na whatsapp sizifungui hataaa πŸ˜…πŸ˜…
 
Tuache tuiangalie kwanza, si kila kitu kibaya kwako basi na kwa mwingine kitakuwa kibaya, kwa upande wako umeona hakifai ngoja nasi tuone.
 

Vipi safari ulienda, download hiyo app ya countdown
 
Dhambi ya unafki haimwachi mtu salama
 


Mimi naona iko poa tu cha maana ni kutangaza nchi mfano niliona clip watu wengi LA California walikuwa hata hawafahamu Tanzania
 
Saanaaa yaaniii, inatisha simu yako mwenyewe ila mauza uza kama yoteee...

Uchawi upo sio lazima uwe wa tunguli...πŸ˜…

Na sio tuu application, link zozote ambazo sizielewi zinatumwa kwenye emails na whatsapp sizifungui hataaa πŸ˜…πŸ˜…
Mambo ya movie acha tu.
Enzi hizo 3D unaenda unapewa miwani unazama bio tukajibeba family nzima ndani movie PIRANHA.
Hilo samaki linakula hadi binadamu.
Basi watoto wakishua wako beach wanakula bata na private boats wachumba kibao aisee waliibuka hao samaki ilikua mtafaruku ndni ya bio acha movie .
Aliyekimbia miwani ile ndo kabisa unakua km uko humo ndani.
Siku hiyo ndio nimeona samaki anatafuna mbupu au ziwa la mtu km apple..
Tafuta hiyo movie.
Hao samaki wapo Amazon huko na ni kweli ni dangerous species.
Nilibahatika kumuona live na kumtafuna ni watamu tu.
Pole kwa gazeti.
 
Miaka yote hii mmeshindwa kuuelimisha ulimwengu kuwa Kilimanjaro iko Tanzania halafu mnategemea hii movie ndio itawaelimisha!

Amandla...
 
😲
 
Na sio kila filamu lazima ipendwe na watu wote
 
Nzuri ila Mpiga Mwingi kampaka sana Jiwe hii kitaalam inaitwa ondoka wakuseme.

Halafu pale mwanzoni wakati wanatoka Ikulu aliposema "Peter first take off your tie and Jacket" ilikua na ukakasi fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…