Nimeangalia filamu ya Royal Tour. I was not impressed. Itawakera sana baadhi yenu

Hii kitu niliwahi kugusia ila watu ni wagumu kuelewa
👇Wazo lenye mantiki: Filamu ya Royal tour ni janja ya mabeberu kujipatia pesa kupitia sekta ya utalii, taifa letu ni kivutio kikubwa cha utalii...
 
Hakuna mkenya ambae alishadai mlima Kilimanjaro upo kenya. Walikuwa wanawazidi akili tu na kuwaambia watalii ukishukia Nairobi inakuwa rahisi kufika kilimanjaro makampuni ya utalii ya Kenya yanapiga pesa.

Dunia ya sasa ni kijiji na ipo viganjani. Kila kivutio cha utalii cha kila mahala kinajulikana. Acha ujuha.
 
Nitaiangalia kesho, ila hata kabla ya kuiangalia sikuwa nategemea la ajabu. Kuonyesha mbuga ni mambo ambayo yamashafanyika sana; kweli hii ilitakiwa ionyeshe upande ambao haujulikani sawasawa hasa usalama mitaani, huduma za dharura, na nightlife kwenye miji
 
Walengwa au walio lengwa ktk Filamu hii ni mataifa ya Marekani/Ulaya n.k.
huko ndiko kunako soko kubwa la watalii na hawavijui vivutio vya kitalii.
 
Sio kila movie ni fictious. Zingine ni true story.

Hii royal tour ni documentary.
 
..wamezungumzia Tanzanite na wamefika mpaka mgodini.

..bahati mbaya mbuga kama katavi, kitulo, burigi-chato, gombe,...hazikuonyeshwa.
Hivi Kuna rais yeyote duniani aliyeko madarakani anafanya kama anayofanya Samia ya kuacha shughuli za kitaifa na kuwa busy na filamu?
Bora muda huu tungepata kiongozi mwingine tuu.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Mie nimeiona pia na ni kweli imetumika kumtangaza Rais badala ya utalii . Nguvu zinazo tumika kuitangaza haziendani na filamu yenyewe.
 
Hiyo RT imegharimu kiasi gani?
 
Tunakusifu kwa kujitolea muda wako kuangalia 7b/- ikichomwa moto. Wengine sidhani kama tutajaribu. Tunajuwa mama na genge lake wako kule kula bata. Kumuona rihanna, kupepesa macho, kutumbuwa tozo na kodi zetu.
Tunajipanga uchaguzi. Watakiona cha mtema kuni
 
😂😂
Mkuu, hapo dawa ni shoo tu😊
 
Fanya kazi mtoto wa kiume acha kulia lia, vitu vikipanda bei hiyo nifursa kwako pia, kati ya sababu sometimes supply inakuwa ndogo, tumia fursa hiyo na wewe ili unufaike kulia lia kwako ukiwa nyuma ya keyboard haitakusaidia kitu. Kuwa mbunifu wa kuanzisha mambo yatayokulipa kwenye kipindi iki kigumu.
 
Asante kwa Maoni.
 
Mkuu kwa hiyo filamu ku base tu Kaskazini ni sawa?

Dah!! Hivi unajua tuna Mbuga nyingine kubwa mbili kuizidi Serengeti?
 
[emoji3064][emoji3064]
 
Nafasi hiyo, Rais na hata serikali haijaweka katazo la kutengeneza filam zingine ambazo zitangaza Tanzania na vivutio vyake.

Hakuna fanani ambae awezi kukosolewa, hiyo ni kawaida sana, hivyo basi nawashauri mliona mapungufu andaeni filam zingine kwa jina tofauti, naona niwapeni wazo hili, mkifanya hivyo faida zitaptikana kwenu binafsi kwa kuungiza kipato na kwa Taifa kwa ujumla katika kuitangaza Nchi pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…