Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Mimi bado sijaangalia...Nimebahatika kuangalia filamu ya Royal Tour...
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi bado sijaangalia...Nimebahatika kuangalia filamu ya Royal Tour...
Mimi bado sijaangalia.
P
Afadhali usiiangalie utapoteza muda wako bure, bora muda huo uchukue rozari tu usali, maana tulitarajia sehemu kama kitulo ziwemo, utalii wa chakula hasa vyakula vya pwani pwani na bara, ruaha, wangetupia na madini mengi tuliyonayo, Nadhani dhana ya utalii hawaielewi vizuri mtalii haji kupumzika tu wengine anakuja na kuangalia fursa za hapa na pale
Tuliwaomba ili watuombe watutengenezee.Hii filamu ni sisi tuliwaomba watuombe watutengenezee au wao walituomba tuwaombe watutengenezee?
Ahsante kwa kuchangia dalali zako, ngapi? Tano kwa wapigaji wa "Free Range."..Nimebahatika kuangalia filamu ya Royal Tour.
..Mimi binafsi haijanivutia, na hata watoto wangu wamesema hawajaona jambo jipya...
Hakuna kitu kinanikera kama alichofanya.Hivi magazeti wangekuwa wanaandika "cc" nani angenunua?Upuuzi!Sasa mleta mada hao uliowaquote ndio unataka wachangie mada yako maana wana uwezo wa kuchangia ama la??
Sasa kama ndio hivyo si muwe mnatumiana PM.
Angalia wewe usivyoelewa mambo ya dunia yanavyokwenda.Mleta mada na wakenya wako waliokutuma kuja kuandika ujinga huu mmebanwa pabaya, tena katikati ya makalio. Mlikuwa mshazoea kwenda kuihadaa dunia kuwa mlima Kilimanjaro upo Kenya, na kwamba ziwa Nyasa linamilikiwa na Malawi. Dunia ya sasa sio ya kudanganyana tena. Andikeni hata thread 10000 na IDs tofauti tofauti, kikubwa dunia imeshafahamu vivutio vyetu halisi ni vipi na mwenye kutaka kuthibitisha anakaribishwa. Wenye akili tulijua tu kwamba film hii itawaumiza wengi, hasa wale chawa wasiokuwa na moyo wa utaifa, na mabwanyenye wao.
Hakuna kitu kinanikera kama alichofanya.Hivi magazeti wangekuwa wanaandika "cc" nani angenunua?Upuuzi!
..Nimebahatika kuangalia filamu ya Royal Tour.
..Mimi binafsi haijanivutia, na hata watoto wangu wamesema hawajaona jambo jipya...
Kama ni promo kwanini hii movie inauzwa, ilibidi iwe bure ili wengi tuiangalie na wangelipa platform kama youtube, TV stations, Jamiiforums etc ili iangaliwe sana, hii ya kulipa naona ni kinyume wanachokusudia ( kutangaza utalii)Mkuu Mzee Mwanakijiji , hii filamu ni yao, walituomba watutengenezee, tukakubali, wametumia gharama zao, na sasa baada ya uzinduzi, wataendelea na biashara yao kurudisha gharama zao.
Tena mbele ya safari, in future, mnaweza kuja kuwa surprised kukuta hata the main character, alilipwa tuu kama ma starring wengine wote wa movies nyingine zote!, the only difference, zile nyingine ni fiction movies, this is non fiction.
P
Ikiwezekana wafanye hivyo,wachangishe pesa watafute watu maarufu Duniani washirikishwe tena wale wenye bashasha....Nimebahatika kuangalia filamu ya Royal Tour.
..Mimi binafsi haijanivutia, na hata watoto wangu wamesema hawajaona jambo jipya...
Kuona ni kuamini dadaSidhani kama nitaiangalia nahisi tu kichefuchefu
Nafikiri umechukia bure tu; mwanzisha mada kumtag mtu mwingine ambaye alishaandika jambo linalofanana na mada yake ni jambo la kawaida tu kumkumbusha mtu huyo kuwa kuna mahala uliandika vile sasa mimi nimeandika hivi. Kama hukubaliani nami basi jitokeze hapa ujieleze kwa kina zaidi pamoja na watu wengine waone hoja zako.Hakuna kitu kinanikera kama alichofanya.Hivi magazeti wangekuwa wanaandika "cc" nani angenunua?Upuuzi!
Paskali! Siku zimekuwa nyingi huko ughaibuni mshauri arudi. Andika "KWA MASLAHI MAPANA KWA TAIFA RUDI MAMA"Mimi bado sijaangalia.
P