Nimeangalia Match ya EPL Bure bila DSTV kwa kutumia kifaa hiki..

Naona mnajitafutia kesi za uhujumu uchumi hivi hivi. TCRA wakikukamateni mtajua hamjui. Risk yote ya nini ya misukosuko ya kisheria kisa mechi za epl. Go legal or just beat it, It's not worth it.
 
Kaka kuna huyo Teko Modise i wish adakwe awasaidie dstv kuwatajia wanaoihujumu manake naona anapayuka kama chizi flani
 
Hatari sana, mbaya zaidi wanajua kuna chombo cha udhibiti na sheria zinazosimamia sekta hiyo. Ujuaji wa kijinga wakidakwa waanze kusumbua familia zao bure kuchangishana hela za kesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…