Nimeangalia Match ya EPL Bure bila DSTV kwa kutumia kifaa hiki..


Hujatazama bure bali umelipa kifurushi cha internet cha MB au GB kadhaa ili uweze kustream...

Android box zipo miaka na miaka, pia kuna TV ambazo tayari OS yake ni android (TCL, Haier, Skyworth, Panasonic, Sony n.k) hivyo huna haja ya kununua hiyo external box, all you have to do ni kuinstall app yenye streaming links tu...likes of Kodi, Livestream player, Yacine n.k
 
Naona mnajitafutia kesi za uhujumu uchumi hivi hivi. TCRA wakikukamateni mtajua hamjui. Risk yote ya nini ya misukosuko ya kisheria kisa mechi za epl. Go legal or just beat it, It's not worth it.

TCRA wanakukamata vipi sasa?
 
Siku wakikuotea wanakamata, hawa na wale wanaotoa huduma ya simu za nje na internet kinyume cha sheria mbona hua wanakamatwa.

Wazuie kwanza uwepo wa smartphones, android tv/box kwanza kabla ya kukamata watu wanaofaidi matunda ya vifaa/mifumo hiyo...

Kutoa huduma nchini kinyume na vibali ni tofauti na kutumia huduma ya mtandao kwa contents ambazo zipo hosted nje huko...
 
Inaitwaje
Football Live HD

Niliipata kwenye hii thread alishare Chief-Mkwawa

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…