sarcomere1
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 304
- 579
Ulaji data upoje?Football Live HD
Niliipata kwenye hii thread alishare Chief-Mkwawa
Msaada: Live streaming World Cup!
Habari wakuu, Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, wengine kutokana na harakati zetu muda mwingine tunakosa wakati wa kukaa kwenye TV kuangalia mechi hivyo naomba msaada kwa anayefahamu sites ambazo naweza Nikafanya live streaming ya world cup matches for free. Natanguliza shukrani zangu za dhati.www.jamiiforums.com
Ivi nikiangalia mpira wa ulaya, Asia na America kwa kutumia device yoyote bila kutumia dish la dstv au decoda yao kosa langu linakuwa lipiNaona mnajitafutia kesi za uhujumu uchumi hivi hivi. TCRA wakikukamateni mtajua hamjui. Risk yote ya nini ya misukosuko ya kisheria kisa mechi za epl. Go legal or just beat it, It's not worth it.
huoni jamaa mmoja hapo juu kakataa kutoa mawasiliano ya jamaa yenu mmojawapo anayesupply hizo mitikasi. Anajua kabisa huo ni msala.Ivi nikiangalia mpira wa ulaya, Asia na America kwa kutumia device yoyote bila kutumia dish la dstv au decoda yao kosa langu linakuwa lipi
vinpatknaj hiv ving'amuzi mkuuNi bora ununue dish la Canal +, unaona mechi za ligi kuu uingereza zote, uefa, italy na baadhi german na spain kwa mwezi 45000
Hii pesa unaiona ndogo kiongoziNi bora ununue dish la Canal +, unaona mechi za ligi kuu uingereza zote, uefa, italy na baadhi german na spain kwa mwezi 45000
Tell me more about them “Hulu”.Hulu Wana movies Nzuri kuzidi Netflix,bahati mbaya website yao Tanzania haipatikani,huyu mdau mtu wa movies binti kiziwi
Tanzania ukitaka kufaidi mpira wa Internet uwe unaishi karibu kabisa na mnara wa simu. Kuna kipindi nilikuwa naishi mita chache tu kutoka kwenye mnara wa Airtel, nilikuwa naangalia mpira bila buffering hata kidogo. Forest Hill siyo lazima uwe na hiki kifaa (TV box). Unaweza kuangalia moja kwa moja kupitia kwenye computer (IPTV), kwa kuunganisha TV yako. Kuna website nyingi tu za IPTV.Buffering vipi?
Maana Azam Max hata kwa speed ya 30Mbps lakini 1080 lazima itaanza ujinga wa ku buffering.
Sasa huko kwenye 4K nataka kujua speed yako ya internet ina kasi gani
Yes but Wana tv series na movies Nzuri sanaTell me more about them “Hulu”.
Siwafahamu… ni kama Netflix au?
Mechi zote yaaniChief mpaka game za UEFA unapata? Total installation cost zinaweza kua bei gani?
Kwahyo hela bora atafute mi box
🤣🤣🤣 duuhMi box Haina application nyingi mkuu
Amazon unapata hata yenye 8Gb RAM @ €80 and belowKuanzia 120k Hadi laki 6,vinatofautiana uwezo,hicho nilinunua 200k
Hiyo ndio yenyewe, Android version ngapiAmazon unapata hata yenye 8Gb RAM @ €80 and below
Kwa lipi sasa, nikiwa hapahapa jfUnateseka ukiwa wapi mkuu
Vipi zile za aliexpress za mpaka $20 zina la maana au ni makopo tuAmazon unapata hata yenye 8Gb RAM @ €80 and below
Vinapatikana mkuu, kuna jamaa yuko kigoma, hata kulipia unamtumia jamaa pesa ndio analipa, nipo naangalia mechi ya arsenal nwNi bora ununue dish la Canal +, unaona mechi za ligi kuu uingereza zote, uefa, italy na baadhi german na spain kwa mwezi 45000