Nazungumzia mwonekano wa nje. Ana umbo la kuvutia.

Yaani, mama mkwe, tena ni mwaka tu umemwoa bintiye? Nyie watu mmlaaniwa tangu tumboni mwa mama zenu!
Habari wana JF. Mimi nimeoa mwaka jana na tuna mtoto mmoja. Tunaishi vizuri tu na mke wangu. Tunapendana. Tatizo lililopo ni kwa mama mkwe. Kwa muda mrefu amekuwa akinitega kimapenzi. Akija nyumbani kwangu hasa mke wangu akiwa kaenda kazini huwa anakaa kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake nje nje. Nikikaa naye karibu huwa ananishika shika makusudi. Sasa jana uvumilivu ukanishinda. Alikaa tena kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake wazi . Nikamshughulikia! Alijilengesha mwenyewe. Baada ya kumaliza kumshughulikia ipasavyo akanisifia eti najua sana kufanya mapenzi. Anataka tena! Naombeni ushauri please kabla mke wangu hajajua. Akijua itakuwa balaa.
You need a DrNdio hivyo tena yametokea. Sasa nifanyaje?
I'm not a firecrunch. She wants it. I have given him what she deserves to get. Way foward please.

kumbe tunajadiliana na kitoto cha shule! hii lugha broken ni dalili tosha ya kiwango cha umri na uelewa wako!!
~i have given "him" what she deserves to get~...??
KICHWANI ZERO wala sipati tabu kukupa ushauri maana najua si kweli
duh kweli mwisho wa dunia ni kesho kutwa, halafu babako mkwe si ynakumbuka alikufa kwa ngoma?
Habari wana JF. Mimi nimeoa mwaka jana na tuna mtoto mmoja. Tunaishi vizuri tu na mke wangu. Tunapendana. Tatizo lililopo ni kwa mama mkwe. Kwa muda mrefu amekuwa akinitega kimapenzi. Akija nyumbani kwangu hasa mke wangu akiwa kaenda kazini huwa anakaa kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake nje nje. Nikikaa naye karibu huwa ananishika shika makusudi. Sasa jana uvumilivu ukanishinda. Alikaa tena kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake wazi . Nikamshughulikia! Alijilengesha mwenyewe. Baada ya kumaliza kumshughulikia ipasavyo akanisifia eti najua sana kufanya mapenzi. Anataka tena! Naombeni ushauri please kabla mke wangu hajajua. Akijua itakuwa balaa.
Mkuu WABHEJASANA Nimesha mpa mawzo y kila aina ni namna gani aweze kufanya ili aweze kuiokowa ndowa yake lakini inaonyesha huyu KICHWANI ZERO amekuwa ana mla huyo Mama Mkwe siku nyingi tu ila leo kaamuwa kutaka kuwasikiliza Watu Je watamuunga mkono au kumpinga tumuachie akamuwe maziwa yake.Atavuna kile alichokipanda shauri yake mwenyewe.Lakini MziziMkavu
Mimi nadhani huyu ni kamanda cha msingi unaweza kumsaidia kama nilivyokuomba ingawa hujatoa jibu,lakini ni pale tu atakapokubali na kukuruhusu vinginevyo aendelee kula mwenyewe kwa sababu anaonekana anaipenda the way anavyojiteta humu Jamvini.