Nimeanza Mwaka kwa Mazoezi

Safi sana mkuuu...tuko pamoja me mwenyewe nlianza tar 3 ad hivi Leo hakuna siku ambayo sijafanya..najiona kidume haswaa tofauti na Mara ya kwanza nlipokua CHAPUTA
 
Sasa hivi nakimbia mara tano kwa wiki lakini nataka nirudi kwenye bball court kwahio nitapunguza kukimbia itakuwa mara mbili kwa wiki, bball mara tatu kwa wiki
 
Upo vizuri mkuu, push up 30 mkupuo, mie napiga 3 na zoezi langu la kuchuchumaa na kuinuka mara 15 napumzika sekunde 30 kisha naendelea mara 15 yaani narudia mara 5 (misuli ya paja inakuwa inauma)...lengo kila siku niongeze push up 2
 
Katika maisha yangu Nataman nipate mwanaume anayependa mazoez alafu ahamasishe na Mke wakee yan viungo vyote vya mwili vinakuwa vyepesi

Hongera sana Mkuu umenikumbusha mbali sana
 
Ha ha ha tatu chali! Zitaongezeka hadi utajishangaa
 
Wewe utakuwa umeumbwa kwa ajili yangu
Katika maisha yangu Nataman nipate mwanaume anayependa mazoez alafu ahamasishe na Mke wakee yan viungo vyote vya mwili vinakuwa vyepesi

Hongera sana Mkuu umenikumbusha mbali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…