Nimeanza Mwaka kwa Mazoezi

Nimeanza Mwaka kwa Mazoezi

Mwaka huu nimejiwekea lengo la kuwa FIT. Nimeanza mwaka kwa mazoezi sasa hivi namaliza mwezi najisikia vizuri sana. Mazoezi sio lazima uende Gym. Hata chumbani au nje ya nyumba yako unaweza kufanya mazoezi.

Kama mimi asubuhi(siku tano kwa wiki) nakimbia(jogging) kwa muda wa nusu saa kila siku kuzunguka eneo dogo tu nje ya nyumba. Jioni napiga push ups 300 siku tano kwa wiki. Hizi push ups napiga 30 mkupuo mmoja, zoezi zima huwa linachukua nusu saa.

Jogging inasaidia kuimarisha misuli ya miguu na kuimarisha moyo wakati push ups zinanisaidia kuimarisha misuli ya mikono na kiwiliwili kwa jumla. Huna haja ya kubeba machuma ili uwe fit. Jogging,sit ups,push ups zinatosha kukufanya uwe fit.
Safi sana mkuuu...tuko pamoja me mwenyewe nlianza tar 3 ad hivi Leo hakuna siku ambayo sijafanya..najiona kidume haswaa tofauti na Mara ya kwanza nlipokua CHAPUTA
 
Ukifanikiwa kumaliza full marathon hutokufa kwa heart attack.

Usiache kukimbia

Siku ukiacha mazoezi ya kukimbia very likely utaacha na mazoezi mengine. Unless you are very displinced

And yes ukikimbia unalose fat. Ni jambo zuri hili.

Fat and death are good friends.

When you grow fat it means you have excess of fat accumulation in your body. And that isn't healthy.

Push ups are fine (i do a lot of them) But them alone won't get you fit body. Distance running does.

Kunyanyua vyuma maana yake unajenga muscles. But remember when you quit nyama zitasinyaa.

Nashauri if you opt for weight lifts do it in moderation. Not in excess.

Eat health and you are good.

Good luck.
Sasa hivi nakimbia mara tano kwa wiki lakini nataka nirudi kwenye bball court kwahio nitapunguza kukimbia itakuwa mara mbili kwa wiki, bball mara tatu kwa wiki
 
Upo vizuri mkuu, push up 30 mkupuo, mie napiga 3 na zoezi langu la kuchuchumaa na kuinuka mara 15 napumzika sekunde 30 kisha naendelea mara 15 yaani narudia mara 5 (misuli ya paja inakuwa inauma)...lengo kila siku niongeze push up 2
 
Katika maisha yangu Nataman nipate mwanaume anayependa mazoez alafu ahamasishe na Mke wakee yan viungo vyote vya mwili vinakuwa vyepesi

Hongera sana Mkuu umenikumbusha mbali sana
 
Ha ha ha tatu chali! Zitaongezeka hadi utajishangaa
 
Wewe utakuwa umeumbwa kwa ajili yangu
Katika maisha yangu Nataman nipate mwanaume anayependa mazoez alafu ahamasishe na Mke wakee yan viungo vyote vya mwili vinakuwa vyepesi

Hongera sana Mkuu umenikumbusha mbali sana
 
Back
Top Bottom