Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Huna jeuri ya kukuna nazi. Labda ununue zile za pakti.Mwenyewe... [emoji39] [emoji39]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna jeuri ya kukuna nazi. Labda ununue zile za pakti.Mwenyewe... [emoji39] [emoji39]
Nawaza hapa unakunaje yani? [emoji2]Yaani mie nikale minazi ya bakhresa nitake radhi bhana, wakati shambani minazi mpaka inaanguka yenyewe..
Safi sana mkuuu...tuko pamoja me mwenyewe nlianza tar 3 ad hivi Leo hakuna siku ambayo sijafanya..najiona kidume haswaa tofauti na Mara ya kwanza nlipokua CHAPUTAMwaka huu nimejiwekea lengo la kuwa FIT. Nimeanza mwaka kwa mazoezi sasa hivi namaliza mwezi najisikia vizuri sana. Mazoezi sio lazima uende Gym. Hata chumbani au nje ya nyumba yako unaweza kufanya mazoezi.
Kama mimi asubuhi(siku tano kwa wiki) nakimbia(jogging) kwa muda wa nusu saa kila siku kuzunguka eneo dogo tu nje ya nyumba. Jioni napiga push ups 300 siku tano kwa wiki. Hizi push ups napiga 30 mkupuo mmoja, zoezi zima huwa linachukua nusu saa.
Jogging inasaidia kuimarisha misuli ya miguu na kuimarisha moyo wakati push ups zinanisaidia kuimarisha misuli ya mikono na kiwiliwili kwa jumla. Huna haja ya kubeba machuma ili uwe fit. Jogging,sit ups,push ups zinatosha kukufanya uwe fit.
Shauri yako, njoo ujionee.Huna jeuri ya kukuna nazi. Labda ununue zile za pakti.
Nakuna kama zinavyokunwa.. [emoji85] [emoji85] [emoji23] [emoji23]Nawaza hapa unakunaje yani? [emoji2]
Napenda mwanaume anaejua kupika mimi.Shauri yako, njoo ujionee.
Utakua unazitoa makubwa makubwaNakuna kama zinavyokunwa.. [emoji85] [emoji85] [emoji23] [emoji23]
Kwa wapi??Njoon Nyuma ya uwanja wa Taifa, tumenunua mpk mziki kwa ajili ya mazoezi
Safi sana mkuuu...tuko pamoja me mwenyewe nlianza tar 3 ad hivi Leo hakuna siku ambayo sijafanya..najiona kidume haswaa tofauti na Mara ya kwanza nlipokua CHAPUTA
Kweli kabisa!?Napenda mwanaume anaejua kupika mimi.
Sasa hivi nakimbia mara tano kwa wiki lakini nataka nirudi kwenye bball court kwahio nitapunguza kukimbia itakuwa mara mbili kwa wiki, bball mara tatu kwa wikiUkifanikiwa kumaliza full marathon hutokufa kwa heart attack.
Usiache kukimbia
Siku ukiacha mazoezi ya kukimbia very likely utaacha na mazoezi mengine. Unless you are very displinced
And yes ukikimbia unalose fat. Ni jambo zuri hili.
Fat and death are good friends.
When you grow fat it means you have excess of fat accumulation in your body. And that isn't healthy.
Push ups are fine (i do a lot of them) But them alone won't get you fit body. Distance running does.
Kunyanyua vyuma maana yake unajenga muscles. But remember when you quit nyama zitasinyaa.
Nashauri if you opt for weight lifts do it in moderation. Not in excess.
Eat health and you are good.
Good luck.
Aahh!! Hivyo hivyo muhimu tui tuu, ila mbona mie huwa naziona laini hakuna vipande vipande.Utakua unazitoa makubwa makubwa
Ndio ukuje kunisaidia, sio kunisimanga tu nyama wee.. [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85]Utakua unazitoa makubwa makubwa
Ha ha ha tatu chali! Zitaongezeka hadi utajishangaaUpo vizuri mkuu, push up 30 mkupuo, mie napiga 3 na zoezi langu la kuchuchumaa na kuinuka mara 15 napumzika sekunde 30 kisha naendelea mara 15 yaani narudia mara 5 (misuli ya paja inakuwa inauma)...lengo kila siku niongeze push up 2
[emoji23][emoji23][emoji23]unataka nichukiwe eeehWewe utakuwa umeumbwa kwa ajili yangu