Nimechagua Infinix hot 60 pro badala ya Samsung A16 zote bei zilikua sawa 400k

Sahihi kabisa aya mambo tunayajuwa sisi wachache tunao juwa simu

Infinix hot 60 pro ni Bora kuliko Samsung a series nyingi .
 
Kesko wewe mkuu simu Bora ni ile inayo pokea update tu pekee?
Hapa tunazungumzia Samsung na infinix mkuu, zote hazina maajabu sana hata ukiangalia camera Resolution inaishia 10x tu.( stage ya seriesl)

Wakati Google pixel a7 plan na Google pixel a7 pro ina resolution ya camera 18x.
 
Nilikua East Gate mall naona simu zao mpya labda IPhone ndio zipo Tanzania karibu maduka 10 nilyoangalia hakuna hata toleo moja lipo kwetu nikagundua Watanzania tuna Dunia yetu kwenye vitu..
Wenzetu wanaitoa kwenye mzunguko Huawei Nova 20 pro sisi ndio tupo na sijui infinix pro tena bei kubwa..
Alietutenganisha na Dunia alaaniwe aisee..
 
Sawa, na nyie mnaojua kuzitumia mnaingia wapi?
 
Nina Infinix hot 10, huu ni mwaka wa 7 nadunda nayo, nikicharge usiku, nadunda nayo kutwa nzima nakuja ku charge tena usiku....!

Kwa ajiri ya kukaa kwake na charge, najiandaa kununua Tena the latest ya Infinix....! Kuwa na simu ina Majina Makubwa hafu kuanza kutembea na charger ni usumbufu.
 
Inategemea na kazi zako mkuu,
Mfano matumizi gani? yaani nataka kujua baadhi ya hayo matumizi kwa wale mnaojua kutumia simu tofauti na mtu wa kawaida anayefungua websites na apps mbalimbali.
 
Kuchukua infinix na kuacha samsung ni sawa na kuoa mwanamke mwenye tako kubwa lakini hana akili na kumuacha mrembo mwenye tako la kawaida lakini ana akili na ni msomi🀣🀣🀣🀣
 
Hahahah nakubali mkali
 
Mfano matumizi gani? yaani nataka kujua baadhi ya hayo matumizi kwa wale mnaojua kutumia simu tofauti na mtu wa kawaida anayefungua websites na apps mbalimbali.
Means, hapa unataka ujue kuwa nafanya kazi gani sasa ¿? 😁 😁. Maana nikikuambia moja kwa moja utajua mishe zangu
 
Nimecheka sana mpaka nimeangusha utupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…