duh eti kidevu kikubwa hahaha lakn we jombiii so pwBora simu mpya uanze kuibikiri mwenyewe hata kama ni A series sio mbaya ila kwa budget hiyo ya 400k tarajia A16 mimi pia ningechukua A16 sema muonekano wake umekaa kiloko sana kwa mwaka 2025 simu yenye kidevu kikubwa yanini
Na hapa ndo napopata shida zipo kibao aiseeeA series zimekuwa na mapungufu mengi siku hizi.
Camera mbovu plus fake versions zimejaa mtaani hadi unakosa kujua ipi ni ipi
Mmh no way ,Bora note 20 ht km ndo wanasema hawa update Tena poa tuBora simu mpya uanze kuibikiri mwenyewe hata kama ni A series sio mbaya ila kwa budget hiyo ya 400k tarajia A16 mimi pia ningechukua A16 sema muonekano wake umekaa kiloko sana kwa mwaka 2025 simu yenye kidevu kikubwa yanini
Note hawatoi Tena imeishia note 20...ndo muuzaji kaniambia....nimeona ni laki 5Note usijaribu. Hutopata mpya kwa bei hiyo. Samsung ya bei hiyo labda A16.
Duh mnazidi kumichsnganyaNimeacha samsung A06 nimechukua redmi13C naenjoy maisha
A56 utailinganisha na infinix ganiSamsung A series hazina utofauti na infinix.
Kweli kabisa, Watanzania wengi wako hivi. Kwa binadamu wa Kitanzania, simu zuri zaidi ni ile inayokaa na charge-umeme kwa mda mrefu kwa sababu ,
. Asilimia 95%, hawajui matumizi ya simu, zaidi zaidi ataingia tiktok - fb - WhatsApp - Instagram na porn sites baada ya hapo anamalizia na PUNYETO .. 🙂 🙂
Sifa za kijingaS series kama imashakua used achana nayo Bora itel mimi nimetoka kwenye s20 5G Jana tu ilichonifanyia namuachia Mungu
Redmi ni simu nzuri kwa bei nzuri, unapata software updates kila wakati.Duh mnazidi kumichsnganya
Hizo ni used sio simu mpya.Note hawatoi Tena imeishia note 20...ndo muuzaji kaniambia....nimeona ni laki 5
Vipi S10+?
Ila kasema sikushauri 🤷duh
Ni mule mule tuNimeacha samsung A06 nimechukua redmi13C naenjoy maisha
Mkuu hivi top flagship killer Kwa mwaka 24/25Hizo simu ni equivalent processor moja, oled display na ufs storage so day to day matumizi yatakua sawa.
Ila Samsung wana warranty nzuri zaidi na bei ni rahisi. A16 ni kama 330-350 hivi.
Inategemea budget, location, dhumuni la simu etc ila all around 13R ni budget flagship nzuri sana.Mkuu hivi top flagship killer Kwa mwaka 24/25
Ni ipi?
Maana naona reviews nyingi wanaipa one plus 13R.
S series ndio flagship izo zipo hadi kufa. Sahivi wapo S25.Uwii Asante sn
Acha nibaki kwenye Samsung
HIvi S series Bado zipo? Maana hizo A nzo naona majanga
Dhumuni kuu ni TOP BEST CAMERA na LONG BATTERY LIFE+ ESIMInategemea budget, location, dhumuni la simu etc ila all around 13R ni budget flagship nzuri sana.
Simu nyengine kama Poco F7 pro na redmagic 10 Air.
Pia kama huchezi games sana kuna Vivo X200 FE, Vivo T4 ultra na Realme GT 7
Duh ,km toleo lipi ndugu?Redmi ni simu nzuri kwa bei nzuri, unapata software updates kila wakati.
Cha msingi tafuta za matoleo ya juzijuzi.
AsanteS series ndio flagship izo zipo hadi kufa. Sahivi wapo S25.
Jitafutie used S10, S20, au S21 unapata kwa bei saafi ata bellow 500k