brave Mwafrika
JF-Expert Member
- May 2, 2019
- 247
- 135
#asante sana
#ingawaje juhudi binafsi ndo zinamfaulisha mwanafunzi, lakini shule pia inachangia sana ikiwemo walimu wenye weledi na uongozi pia, ndo maana nikauliza hili kuweza kujua.Kwa shule za serikali au advance ki ujumla hasa hizi science comb (PCM,PCB&PGM) zinahitaji uwezo na jitihada binafsi.
Ukienda kule ukazubaa na one ya o -level things change kule. Kuitafuta 4,3 au 0 ni chapu kwa haraka
Shule yoyote ni nzuri ila jitihada binafsi ni muhimu KAZA. Ila soma kwa target andaa akili yako kusoma science mambo mengi ,magumu pia muda ni mchache
#vipi kuhusu weledi wa walimu katika ufundishaji, unaweza kumferisha au kumfaulisha mwanafunzi pia.Jitihada zako ndio zitakutoa.
Shule za government nyingi walimu wa science ni Tatizo, waliopo wanafanya kazi bora liende. Ingawa sisemi zote ila.#vipi kuhusu weledi wa walimu katika ufundishaji, unaweza kumferisha au kumfaulisha mwanafunzi pia.
Hahaha nyeto tenaShule za government nyingi walimu wa science ni Tatizo, waliopo wanafanya kazi bora liende. Ingawa sisemi zote ila.
Tofauti na shule za private, ambazo walimu wanakua monitored kwakua ile ni biashara.
Kikubwa:
1. Fanya discussion sana na wenzio. Atleast kila siku ufanye discussion.
2. Achana na vitu kama smartphone, mikumbo ya ajabu, kwenda town bila sababu, etc.
3. Udhuria vipindi vingi as possible. Jifunze sana practical za Physics na Chemistry.
4. Watu wa PCM wanakazaga sana kwenye Mathe na Phys wanasahau Chemistry wanaiona kama sio mambo yao ya kukariri mafomula ya Organic.
5. Ukirudi likizo tafuta Centre za tution nzuri. Sio zenye mademu wakali ila zenye walimu wazuri.
6. Kula ugali wa shule na maharage. Uteseke. Ukija Chuo utakula bata.
7. Na Mwisho, usishoboke na mademu wa mtaani. Bora nyeto.
All the Best Champion.
Walimu wengi wa advance hasa science they teach like uko chuo and shule nyng za advance over 90% zipo free sana ko ni uwezo wa akili Ku master mazingira#ingawaje juhudi binafsi ndo zinamfaulisha mwanafunzi, lakini shule pia inachangia sana ikiwemo walimu wenye weledi na uongozi pia, ndo maana nikauliza hili kuweza kujua.
Sijapinga ulicho ongea Ila nimejaribu kuongezea tu
Sure PCM &PCB Znapoteza sana 1&2 za o level,wenye jitihada tu ndio watafaulu wenye akili mingi bila effort tunawazikia diplomaShule ya A-level (PCM, PCB) unaweza kuwa na akili na bado ukafeli.
Ushauri.
1. Hakikisha unajua nini unatakiwa usome (angalia syllabus), hakikisha ume soma kila kitu kabla ya mtihani wa mwisho.
2. Usitegemee makubwa kutoka kwa walimu, tuition na kujisomea mwenyewe plus discussion na wenzako.
3. Ukawe na nidhamu shuleni, adhabu zitakupotezea muda na kukuondoa kwenye reli.
4. Jipime kwa kutumia mitihani ya taifa iliyopita, ukiona unachungulia 'solution' ujue bado haujaiva, komaa zaidi.
5. Jitahidi usome kuelewa na sio kukariri, ikishindikana kabisaa ndio uishie kukariri.
6. Adv. Maths haiwezi kukuangusha, kama unajua unajua tu, hakuna mawaa.
7. Pata muda wa kupumzika (lala, sio unadanganywa unaanza kukesha alafu mchana darasani unaishia kusinzia)
8. Kama ni mtu wa dini basi walau mara moja kwa mwezi kachungulie kwenye nyumba ya ibada, Mungu ana nafasi yake. Ila usizidishe ukaanza kukesha usiku sijui unakemea mapepo, mapepo hayana time na wewe.
9. Achana na mapenzi, mapenzi ni project kama zilivyo project nyingine. Yanahitaji rasilimali muda, akili na fedha, hivyo vitu wewe hauna vya kuchezea kwa hiyo miaka miwili.
Zaidi ya yote, hongera sana. Hapo ulipofika sio hatua ndogo.
Jamani embu elezea vizuri maana nineshìndwa kutoa ushauri wa mtoto wa mdogo wangu.Tulishasema A-Level ni wastage of time. Nenda chuo pale DIT.
Diploma ya DIT ni semi advance with bachelor humo humoTulishasema A-Level ni wastage of time. Nenda chuo pale DIT.
wazazi wake wanaakili sana taifa linahitaji wazazi kama hao ili idadi ya vijana wasio na ujuzi wa taaluma walizosomea wapungue mtaaniJamani embu elezea vizuri maana nineshìndwa kutoa ushauri wa mtoto wa mdogo wangu.
Yeye matokea yake alipata Ana B tu cha ajabu ati kachaguliwa CBG li shule liko huko pwani.
Hii CBG atakuwa nani?
Wazazi wamekataa nasikia wanataka aende chuo.
Naomba.kujua ni faida gani za kwenda chuo na sio kwenda f5?
Plz yeyote mwenye uelewa aseme chochote.
Kusoma CBG kuna courses nyng sana za kusoma atapofikia level ya chuo kulingana na requirements za course husika pamoja na masomo aliyochukua advance.Jamani embu elezea vizuri maana nineshìndwa kutoa ushauri wa mtoto wa mdogo wangu.
Yeye matokea yake alipata Ana B tu cha ajabu ati kachaguliwa CBG li shule liko huko pwani.
Hii CBG atakuwa nani?
Wazazi wamekataa nasikia wanataka aende chuo.
Naomba.kujua ni faida gani za kwenda chuo na sio kwenda f5?
Plz yeyote mwenye uelewa aseme chochote.
Wazazi wapewe maua yao. Huyo dogo ana bahati sana ya kuwa na wazazi waelewa.wazazi wake wanaakili sana taifa linahitaji wazazi kama hao ili idadi yapungue mtaani