GRANITE II
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 540
- 965
Michael mnyama moja ya walimu wa tuition wazuri sana....M ni moja ya products za huyu jamaa ...1.Bila tuition hutoboi. Nenda kwa Michael Mnyama ukaanze tution.
2. Uwe na nidhamu. Kuna mwalimu anaitwa 'MATITI' ni dicpline master, hachekagi na mtu.
3. Usifuatize mkumbo. Vijana wa o-level ni watoro sana. Usiige
4. Usiende ziwani. 2018/19 kijana (the late Elnisi) wa EGM alikufa maji
5. Wafanye walimu kua marafiki zako (Anza na mwalimu Heartman wa Chemistry)
6. Nenda ukasome, Advance sio Olevel
7. Nenda ukasome, PCM sio makalio
8. Anza na Mwenyezi Mungu. Usiache ibada, kumuomba na kumshukuru.