Winga dalali
Senior Member
- Jul 20, 2021
- 196
- 265
DIT is the best institute for engineering Tanzania nzima hakuna kama pale ,dip mpk mastersNashauri mara ya mwisho, nenda DIT nenda DIT nenda DIT. Sirudi tena kwenye huu uzi.
Aende DIT nawasilisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DIT is the best institute for engineering Tanzania nzima hakuna kama pale ,dip mpk mastersNashauri mara ya mwisho, nenda DIT nenda DIT nenda DIT. Sirudi tena kwenye huu uzi.
#asante kwa ushauri wako nimeupokea kwa mikono miwili.Shule za government nyingi walimu wa science ni Tatizo, waliopo wanafanya kazi bora liende. Ingawa sisemi zote ila.
Tofauti na shule za private, ambazo walimu wanakua monitored kwakua ile ni biashara.
Kikubwa:
1. Fanya discussion sana na wenzio. Atleast kila siku ufanye discussion.
2. Achana na vitu kama smartphone, mikumbo ya ajabu, kwenda town bila sababu, etc.
3. Udhuria vipindi vingi as possible. Jifunze sana practical za Physics na Chemistry.
4. Watu wa PCM wanakazaga sana kwenye Mathe na Phys wanasahau Chemistry wanaiona kama sio mambo yao ya kukariri mafomula ya Organic.
5. Ukirudi likizo tafuta Centre za tution nzuri. Sio zenye mademu wakali ila zenye walimu wazuri.
6. Kula ugali wa shule na maharage. Uteseke. Ukija Chuo utakula bata.
7. Na Mwisho, usishoboke na mademu wa mtaani. Bora nyeto.
All the Best Champion.
#nimekuelewa sana, Ila naomba nijuze walimu wa pale na uongozi wake wote wapo vizuri katika ufundishaji??msuli utakutoa sana usiige watu, usishindane na walimu mara kuwagomea (mtumikie kafiri upate mradi wako), pitia past paper za nyuma, solve vitabu almost vyote "ABOTT, CHAND, NELKON ETC" Soma kwa discussion, soma sana usiku but upate mda wa kupumzika
USIWAIGE MADOGO WA O LEVEL HAPO BWIRU (hio shule ni ya ufundi kwa o level) wengi wao wana kauwezo flani hivo wengine hawaangaiki sana kusoma na wanapasua sana hivyo wewe advance usiwaige hata kidogo shule za advance nyingi zenye Tech A level hawafanyagi vizuri sana
#unaisi kwenda advance nitapoteza??DIT is the best institute for engineering Tanzania nzima hakuna kama pale ,dip mpk masters
Aende DIT nawasilisha
#asante sana, Ila nachotaka kujua ni performance ya walimu katika ufundishaji, mbali na msuli binafsi.Kwa shule za serikali au advance ki ujumla hasa hizi science comb (PCM, PCB & PGM) zinahitaji uwezo na jitihada binafsi.
Ukienda kule ukazubaa na one ya O-Level things change kule. Kuitafuta 4,3 au 0 ni chapu kwa haraka
Shule yoyote ni nzuri ila jitihada binafsi ni muhimu KAZA. Ila soma kwa target andaa akili yako kusoma science mambo mengi, magumu pia muda ni mchache
#aaah!sawa hapo nimekupata ndugu.Walimu wengi wa advance hasa science they teach like uko chuo and shule nyng za advance over 90% zipo free sana ko ni uwezo wa akili Ku master mazingira
Example advance nlyosoma mm INA comb 2 PCM &PCB Lkn the school is extremely free teacher hawana habari ya kumfuatilia advance yyte yule,but watu wanakaa kwao wanapiga mapindi huko sinza ,mchikichini wanakuja kupiga tu paper school au mnaji organize kulipa mwalimu flan kipanga aje awape madesa
All in all usitegemee uongozi au usimamamizi wa walimu na shule tegemea uelewa,kujitambua kwako na jitihada basi.
Usimamizi waachie
(H kunani.....Combinations)
Shule za serikali kiujumla hazifundishi kwenye advance haswa izo za kitambo sikufichi ukitegemea walimu wa iyo shule utapata 4 au 0 hapo n msuli wako kama unataka walimu ndo wakufundishe ndo ufaulu kwenye iyo shule bora uende DIT tu#asante sana, Ila nachotaka kujua ni performance ya walimu katika ufundishaji, mbali na msuli binafsi.
Kongole dogo👏🏿🎊Mimi naishi Mwanza, na ni mwanafunzi niliye maliza kidato cha nne mwaka Jana na nimebahatika kuchaguliwa kwenda A-level (Bwiru Boys Secondary School) katika mchepuo wa PCM.
Nilikuwa naomba kujua ubora wa shule hiyo na uwezo wake katika ufundishaji hili mdogo wenu niweze kupata elimu nzuri itakayo nisaidia hapo baadae.
Naombeni wakubwa zangu mseme kitu juu ya hilo?
Kasome nduguMimi naishi Mwanza, na ni mwanafunzi niliye maliza kidato cha nne mwaka Jana na nimebahatika kuchaguliwa kwenda A-level (Bwiru Boys Secondary School) katika mchepuo wa PCM.
Nilikuwa naomba kujua ubora wa shule hiyo na uwezo wake katika ufundishaji hili mdogo wenu niweze kupata elimu nzuri itakayo nisaidia hapo baadae.
Naombeni wakubwa zangu mseme kitu juu ya hilo?
Mmh mbona siijui hiii mkuu???? Imeanza liniLakini kuna government sponsored student wa diploma ambao ada,chakula and hostel ni juu ya serikali pia hua wanapewa allowance ya sth kama 600k kama sio 400k kila kipindi cha field.
Ishu ni wazazi na Walimu wawashaur vzur wanafunz kweny kujaza selection (SEL FORM)
Wanapachukulia poa DITDiploma ya DIT ni semi advance with bachelor humo humo
Tatizo Ada nadhani ilaa diploma ni best option kabisaa...
#tatizo sio selection ndugu yangu,Lakini kuna government sponsored student wa diploma ambao ada,chakula and hostel ni juu ya serikali pia hua wanapewa allowance ya sth kama 600k kama sio 400k kila kipindi cha field.
Ishu ni wazazi na Walimu wawashaur vzur wanafunz kweny kujaza selection (SEL FORM)
Mnoo kaka.. Hapa dogoo kashakula kama 3.5mil tayari[emoji22][emoji22][emoji22] just first year...!! Ila ndo hivyoo tunafanya kwa ajili yakeee alichaguliwa A level nikamwambia huo ujinga tupa kulee..#naunga hoja ndugu,
Tatizo ada kwa kusoma college mpaka kumaliza ni pesa ndefu.
#daaah!umefika pahala familia nzima inanisikiliza mimi japo pia wanasema kama ni chuo bora kiwe cha serikali maana vya private gharama sana.Mnoo kaka.. Hapa dogoo kashakula kama 3.5mil tayari[emoji22][emoji22][emoji22] just first year...!! Ila ndo hivyoo tunafanya kwa ajili yakeee alichaguliwa A level nikamwambia huo ujinga tupa kulee..