Nimechaguliwa PCM Bwiru Boys; Je, ni shule nzuri?

Nimechaguliwa PCM Bwiru Boys; Je, ni shule nzuri?

Kusoma CBG kuna courses nyng sana za kusoma atapofikia level ya chuo kulingana na requirements za course husika pamoja na masomo aliyochukua advance.
But hili LA kwenda chuo badala ya advance naunga mkono hoja

1.it's better aende chuo kule atapata skills za professional atakayokua amesomea,

2.Inaepusha risk ya kufeli coz government schools hasa science they are too poor in deliverance of materials

3. Akimalza diploma ana uwezo wa kuendelea na bachelor degree tena hata kwa course zaidi ya tatu tofaut na ile aliyosomea diploma ikampa nafasi ya kua na vyet viwili vya taaluma
4.After finishing the college he/she can employ his/herself accordingly to knowledge and life experience obtained from college
Asante sana mkuu
 
1.chelewa kwenda piga tuition zakutosha ikiwezekana maliza topics zote za form 5.
2.ukifika tafuta masela toka Dar or Arusha or huko mwanza kwenu waliomaliza/soma tuition tyr piga nao kolabo la masomo.
3.kua karibu na vipanga wa darasa hii itakusaidia kwakua wengine hua wanaficha materials.
4.kumbuka 2yrs ya 5&6 ni michache mno so use it wisely otherwise utaenda na div 1 nakutoka na div 4 or zero kabisa.
5.gov schools hua hawafundishi km private kutomuona teacher for a month nijambo la kawaida sn.
All the best mwamba ila tuition ndio mkombozi wa A-level for gov schools
 
Jamani embu elezea vizuri maana nineshìndwa kutoa ushauri wa mtoto wa mdogo wangu.

Yeye matokea yake alipata Ana B tu cha ajabu ati kachaguliwa CBG li shule liko huko pwani.
Hii CBG atakuwa nani?
Wazazi wamekataa nasikia wanataka aende chuo.
Naomba.kujua ni faida gani za kwenda chuo na sio kwenda f5?

Plz yeyote mwenye uelewa aseme chochote.
CBG..chemistry Biology and Geography.
Huyu anaweza kua mwalimu
Anaweza kua biochemistrian..viumbe hai
Anaweza kua bwana shamba.
In short anawigo mpana sn huyo kikubwa nikupelekwa chuo kizuri tena kwa B''s grade hata nje anapata huyo
 
Kufaulu ni juhudi zako binafsi,hata bila walimu shuleni watu wana score.
 
Bwa mdogo kapige PCM ukifika form six ukapata Div 3 usivunjike moyo kaanze na diploma ya engineering fani yeyote. Usikubali tuu kuwa Mwalimu.
 
Ni shule ya ufundi iko poa mazingira ni tulivu kabisa ingawa iko karibu na mjini. Karakana na maabara zipo japo sina uhakika kuhusu vifaa.
Kwa upande wa taaluma shule zote za serikali zinafanana hakuna 'spoon feeding' ni juhudi zako ndio zitakazokuvusha.
 
Lakini kuna government sponsored student wa diploma ambao ada,chakula and hostel ni juu ya serikali pia hua wanapewa allowance ya sth kama 600k kama sio 400k kila kipindi cha field.
Ishu ni wazazi na Walimu wawashaur vzur wanafunz kweny kujaza selection (SEL FORM)
Tatizo Ada nadhani ilaa diploma ni best option kabisaa...
 
Ukifaulu vzr unaweza pata uzamini wa ndani kunamashirika yanatoa once form 6 results ikitoka. ..
Pia ukitaka kwenda soma nje bila form 6 results hupati labda uende private nauwe umefaulu vzr sn olevel.
 
Back
Top Bottom