Nimechaguliwa PCM Bwiru Boys; Je, ni shule nzuri?

Asante sana mkuu
 
1.chelewa kwenda piga tuition zakutosha ikiwezekana maliza topics zote za form 5.
2.ukifika tafuta masela toka Dar or Arusha or huko mwanza kwenu waliomaliza/soma tuition tyr piga nao kolabo la masomo.
3.kua karibu na vipanga wa darasa hii itakusaidia kwakua wengine hua wanaficha materials.
4.kumbuka 2yrs ya 5&6 ni michache mno so use it wisely otherwise utaenda na div 1 nakutoka na div 4 or zero kabisa.
5.gov schools hua hawafundishi km private kutomuona teacher for a month nijambo la kawaida sn.
All the best mwamba ila tuition ndio mkombozi wa A-level for gov schools
 
CBG..chemistry Biology and Geography.
Huyu anaweza kua mwalimu
Anaweza kua biochemistrian..viumbe hai
Anaweza kua bwana shamba.
In short anawigo mpana sn huyo kikubwa nikupelekwa chuo kizuri tena kwa B''s grade hata nje anapata huyo
 
Kufaulu ni juhudi zako binafsi,hata bila walimu shuleni watu wana score.
 
Bwa mdogo kapige PCM ukifika form six ukapata Div 3 usivunjike moyo kaanze na diploma ya engineering fani yeyote. Usikubali tuu kuwa Mwalimu.
 
Ni shule ya ufundi iko poa mazingira ni tulivu kabisa ingawa iko karibu na mjini. Karakana na maabara zipo japo sina uhakika kuhusu vifaa.
Kwa upande wa taaluma shule zote za serikali zinafanana hakuna 'spoon feeding' ni juhudi zako ndio zitakazokuvusha.
 
Lakini kuna government sponsored student wa diploma ambao ada,chakula and hostel ni juu ya serikali pia hua wanapewa allowance ya sth kama 600k kama sio 400k kila kipindi cha field.
Ishu ni wazazi na Walimu wawashaur vzur wanafunz kweny kujaza selection (SEL FORM)
Tatizo Ada nadhani ilaa diploma ni best option kabisaa...
 
Ukifaulu vzr unaweza pata uzamini wa ndani kunamashirika yanatoa once form 6 results ikitoka. ..
Pia ukitaka kwenda soma nje bila form 6 results hupati labda uende private nauwe umefaulu vzr sn olevel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…