Nimechaguliwa PCM Bwiru Boys; Je, ni shule nzuri?

msuli utakutoa sana usiige watu, usishindane na walimu mara kuwagomea (mtumikie kafiri upate mradi wako), pitia past paper za nyuma, solve vitabu almost vyote "ABOTT, CHAND, NELKON ETC" Soma kwa discussion, soma sana usiku but upate mda wa kupumzika
USIWAIGE MADOGO WA O LEVEL HAPO BWIRU (hio shule ni ya ufundi kwa o level) wengi wao wana kauwezo flani hivo wengine hawaangaiki sana kusoma na wanapasua sana hivyo wewe advance usiwaige hata kidogo shule za advance nyingi zenye Tech A level hawafanyagi vizuri sana
 
#asante kwa ushauri wako nimeupokea kwa mikono miwili.
 
#nimekuelewa sana, Ila naomba nijuze walimu wa pale na uongozi wake wote wapo vizuri katika ufundishaji??
 
#asante sana, Ila nachotaka kujua ni performance ya walimu katika ufundishaji, mbali na msuli binafsi.
 
#aaah!sawa hapo nimekupata ndugu.
Na Mimi nimetokea kwenye shule za Qt ndo nimefaulu jikapigiwa huko.
 
#asante sana, Ila nachotaka kujua ni performance ya walimu katika ufundishaji, mbali na msuli binafsi.
Shule za serikali kiujumla hazifundishi kwenye advance haswa izo za kitambo sikufichi ukitegemea walimu wa iyo shule utapata 4 au 0 hapo n msuli wako kama unataka walimu ndo wakufundishe ndo ufaulu kwenye iyo shule bora uende DIT tu
 
Ni shule nzuri tu...kikubwa kwa hii comb ya PCM jitahidi pia uwe na juhudi binafsi sio kutegemea sana shule,uzuri ni shule ya mjini means kwenda town kupiga mapindi nafasi ipo (ukiwa mjanja)
Usipende visiketi vya wadada wa Mnarani sec vitakutoa kwenye reli mapema

All the best
 
Kongole dogo👏🏿🎊
 
1.Bila tuition hutoboi. Nenda kwa Michael Mnyama ukaanze tution.
2. Uwe na nidhamu. Kuna mwalimu anaitwa 'MATITI' ni dicpline master, hachekagi na mtu.
3. Usifuatize mkumbo. Vijana wa o-level ni watoro sana. Usiige
4. Usiende ziwani. 2018/19 kijana (the late Elnisi) wa EGM alikufa maji
5. Wafanye walimu kua marafiki zako (Anza na mwalimu Heartman wa Chemistry)
6. Nenda ukasome, Advance sio Olevel
7. Nenda ukasome, PCM sio makalio
8. Anza na Mwenyezi Mungu. Usiache ibada, kumuomba na kumshukuru.
 
Kasome ndugu
 
Mmh mbona siijui hiii mkuu???? Imeanza lini
 
Ruka advance nenda DIT ukidhani pako Oyaa oyaa utarudi kutoa ushuhuda humu
 
#tatizo sio selection ndugu yangu,

Mimi nimejaza chaguo la kwanza chuo chaguo la pili technical college na chaguo la tatu advance lakini ndo wamenipeleka huko kwenye chaguo la tatu
 
Mnoo kaka.. Hapa dogoo kashakula kama 3.5mil tayari[emoji22][emoji22][emoji22] just first year...!! Ila ndo hivyoo tunafanya kwa ajili yakeee alichaguliwa A level nikamwambia huo ujinga tupa kulee..
#daaah!umefika pahala familia nzima inanisikiliza mimi japo pia wanasema kama ni chuo bora kiwe cha serikali maana vya private gharama sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…