Nimechaguliwa PCM Bwiru Boys; Je, ni shule nzuri?

Michael mnyama moja ya walimu wa tuition wazuri sana....M ni moja ya products za huyu jamaa ...
 
Kama shule Ina combination ya PCB aende, wanabadilisna mbona.
Ila ajipime maana PCB ni moto wa gas bora PCM. Anaweza lamba hadi division 3 kama hayuko makini.
 
Mmh mbona siijui hiii mkuu???? Imeanza lini
IPO chief kwa wale wanafunzi ambao selection zao waliweka vyuo vya kati kama 1st choice.na wakafanikiwa kupangiwa huko

Wao gharama za ada ni ndogo kwao wanachotoa ni ile administrative cost basi. Ila ada,msosi,hostel juu ya serikali. Try to look gharama za ada chuo for gvt sponsored kwenye website za DIT,MUST& ATC zimeainishwa. Ila ili use beneficiary lazima use directly selected by gov not otherwise
 
#hii serikali hii, Mimi chaguo la kwanza likikuwa chuo, chaguo la pili technical college na la tatu ndo advance. Ila nimepelekwa advance 🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️ daaaaaah!
 
Well said.... Nakumbuka shule yangu ya boys mkoani Kilimanjaro mwalimu alikuwa hakufuatilii kwa lolote, hivyo ni jitihada zako tu za kujitambua na kusoma.. wadau wengi walifuata mkumbo na matumizi ya madawa...
.wengi walifeli na baadhi walifukuzwa kwa migomo... Wengine wale wa kishua walipoona hawafuatiliwi walihama, walishazoea private kufuatiliwa na kumegewa madesa

All the best.
 
#hii serikali hii, Mimi chaguo la kwanza likikuwa chuo, chaguo la pili technical college na la tatu ndo advance. Ila nimepelekwa advance 🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️ daaaaaah!
If I'm not wrong nliona kwenye web ya tamisemi kuna,option ya kuchange tahsusi I think na chuo pia though sijafuatilia ,try to look out
 
If I'm not wrong nliona kwenye web ya tamisemi kuna,option ya kuchange tahsusi I think na chuo pia though sijafuatilia ,try to look out
#uliiona lini??
Maana mwezi wa nne ndo walitoa nafasi kwa wanafunzi ya kubadili machaguo yao kwenye selform zao kupitia tamisemi. Na mimi nilifanya hivyo, lakini sasa ndo nikapelekwa kwenye chaguo langu la tatu.
Sasa hiyo unayosema wewe, sijajua??
 
Niliona ,muda kdgo nafkr b4 selection hivyo sikuizingatia iko vipi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…