Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Umefiliska kisiasa. Endelea kula hela za Wanyonge utulie.Nchi, ni dubwana kubwa, lenye kuhitaji maendeleo katika kila kona, kila chochoro, Nchi hujengwa hatua kwa hatua, (wao chadema huwaaminisha machizi wao kuwa kila kitu kitakuwa safi mara moja, nazo nyumbu huamini hivyo!
Wapare nao hawapo nyuma 😭Bro kwenye uchawa unakuja kwa kasi ya mwanga😅😅😅😅
Hahahaha🤣🤣🤣🤣Katika majimbo ambayo hayana mbunge basi ni korogwe mjini. Nilikuwa hapa kwa semina ya siku tatu,
Katika kupita huku na huku nikaona hili bango ambalo nilisikia waliweka kipindi Mama anakuja!
Bango hili liko mita chache tu kwenye barabara hii inayoelekea Magunga hospitali !!
Je ni kweli Korogwe mjini hawana deni na mama?
View attachment 3307466View attachment 3307462View attachment 3307461
Halmashauri ipo nchi ya Rwanda au sio?!Katika majimbo ambayo hayana mbunge basi ni korogwe mjini. Nilikuwa hapa kwa semina ya siku tatu,
Katika kupita huku na huku nikaona hili bango ambalo nilisikia waliweka kipindi Mama anakuja!
Bango hili liko mita chache tu kwenye barabara hii inayoelekea Magunga hospitali !!
Je ni kweli Korogwe mjini hawana deni na mama?
View attachment 3307466View attachment 3307462View attachment 3307461
Ila hili taifa 😆😆😆 hapo ni town afu wanaandika hatukudai mama sogea ndan ndan utakutana na shida noma nomaKatika majimbo ambayo hayana mbunge basi ni korogwe mjini. Nilikuwa hapa kwa semina ya siku tatu,
Katika kupita huku na huku nikaona hili bango ambalo nilisikia waliweka kipindi Mama anakuja!
Bango hili liko mita chache tu kwenye barabara hii inayoelekea Magunga hospitali !!
Je ni kweli Korogwe mjini hawana deni na mama?
View attachment 3307466View attachment 3307462View attachment 3307461
Wapare kwenye taifa ni watu bora mno kina Mshana Jr Robert Heriel Mtibeli Mbaga Jr ERoni Donatila , ila kabla hawajakutana na wachaga😅😅
Hahaha tumewaachia mbegu ya kigweno iwakimbize kiuchumu, hakunaga mchaga Fala bwashee 🤣🤣🤣😂😂
Wachaga ni shemeji zetu hatuna ugomvi nao.
Mambo Yao tunawaachiaga wenyewe
Miaka mitano ijayo barabara zote kuu za Tanzania zitakuwa kama hii au mbaya zaidi ya hii barabara.
Wakamaria wana misemo mingi sana!Wanasema hawana Deni na mama
Mimi huwa naenda na mwenyeji kurudi narudi mwenyeweNdio maana mimi nachukia kuendesha gari usiku njia ambayo ni ngeni
Tunashukuru kwa kujitaja,kumbe ww ndo uliandaa hilo bango kwa malipo ya kofia na T-shirt!!Acha kumchonganisha mama na wananchi wa Korogwe🐼
hapana hiyo ni barabara ya kwenda hospitali ya wilaya magunga ni hatariHiyo ni barabara ya halmashauri
Chawa na ma - CCM kwa ujumla na serikali yao yote ni majinga na ujinga uko kwenye stage ya upumbavu kabisa....Katika majimbo ambayo hayana mbunge basi ni korogwe mjini. Nilikuwa hapa kwa semina ya siku tatu,
Katika kupita huku na huku nikaona hili bango ambalo nilisikia waliweka kipindi Mama anakuja!
Bango hili liko mita chache tu kwenye barabara hii inayoelekea Magunga hospitali !!
Je ni kweli Korogwe mjini hawana deni na mama?
View attachment 3307466View attachment 3307462View attachment 3307461
Halmashauri haipo chini ya Rais..!?Hiyo ni barabara ya halmashauri
Katika majimbo ambayo hayana mbunge basi ni korogwe mjini. Nilikuwa hapa kwa semina ya siku tatu,
Katika kupita huku na huku nikaona hili bango ambalo nilisikia waliweka kipindi Mama anakuja!
Bango hili liko mita chache tu kwenye barabara hii inayoelekea Magunga hospitali !!
Je ni kweli Korogwe mjini hawana deni