Nimechoka kujifanya wakishua, napuliza dawa majumbani maofsini nk, pliz tuwasiliane wakuu

Alexido jz instagram

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2026
Posts
4,686
Reaction score
10,018
Wakuu maisha ya kuvaa cheni Kali raba Kali wazee wa t-shirt na jeans hapana Kwa kweli umri unaenda, nataka kuoa soon inshaallah, hivo nawaomba sana sana sana, ndugu zangu NAPULIZA DAWA MAJUMBANI ya kuua wadudu watambao na warukao pliz nipeni kazi wakuuπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸš΄πŸš΄πŸš΄

Screenshot_20260818-155345.jpg
 
View attachment 3652629
Bora ulipolijua tatizo mapema, basi pambania na katiba mpya
 
NISAMEHE mkuu siasa na kazi Huwa sivichanganyi, Mimi nafanya kazi na wote mambo ya katiba mfikishie lisu ana impact kubwa sana kuliko Mimi
 
Kuna sehemu nilienda kupulizia dawa, huyo Binti ana undugu kabisa wa karibu na Fulani yani wale ndugu kikitokea kikao cha family nae yupo mzeer, acha tu nilipewa NAMBA lakini sinaga tabia ya kumtongoza wateja hizo mambo sinaga kabisa, unajua kilifata Nini, anyway sijapata hata mtejja Mmoja inasikitisha sana ina mana humu mnaishia hewani mana hata masaki Kuna mbu, nipiteni wakuu here we goπŸš΄πŸš΄πŸš΄πŸš΄πŸš΄πŸ„πŸ„
 
kama unataka usife njaa uza chochote kinachoingia tumboni kwa binadam, hivo vingine utahenyeka haswaa
 
Wakuu maisha ya kuvaa cheni Kali raba Kali wazee wa t-shirt na jeans hapana Kwa kweli umri unaenda, nataka kuoa soon inshaallah, hivo nawaomba sana sana sana, ndugu zangu NAPULIZA DAWA MAJUMBANI ya kuua wadudu watambao na warukao pliz nipeni kazi wakuuπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸš΄πŸš΄πŸš΄

View attachment 3652629
shida kubwa ya watu wanoishi mbagala na tegeta sokoni, washazoea mijusi sasa utapuliza wapi maana hawataki mfano GENTAMYCINE
 
Riziki anatoa mungu napata sana. Wateja mpaka nafikiria kuingia mashirikiano na watu ili tulifanye Kwa ukubwa, walengwa wangu wakubwa ni taasisi na makampuni makubwa na si rejreja hawanikuongwzea tu mtaji kaka asante
 
Back
Top Bottom