Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 14,266
- 40,225
Leo leo kazi ipo
Kinacho nishangaza ni kua napata wateja ndo mana nimeona nijitangaze na humu, malengo nikuikuza zaidi,kama unataka usife njaa uza chochote kinachoingia tumboni kwa binadam, hivo vingine utahenyeka haswaa
kila la kheri mkuu wengine tupo kanda ya ziwaZanzibar mkuu
Nadhani huku 'Kulala' Kwangu na Mama yako Mzazi kumekuwa shida Kwako Wewe Kijana wake.shida kubwa ya watu wanoishi mbagala na tegeta sokoni, washazoea mijusi sasa utapuliza wapi maana hawataki mfano GENTAMYCINE
Sawa kaka ndio kwetu huko nimezaliwa Kanda ya ziwa, geita mkuukila la kheri mkuu wengine tupo kanda ya ziwa
Hahahahaa🤣🤣🤣, kijana hana adabu mpe hili pigo, SIKU ukiwa kwenye show fungua dirisha ili awe ana chungulia maunyama yanayo endelea hahahahaNadhani huku 'Kulala' Kwangu na Mama yako Mzazi kumekuwa shida Kwako Wewe Kijana wake.
mm mwenyewe ngosha wa geita tupo tunajenga taifa pamoja sana mkuuSawa kaka ndio kwetu huko nimezaliwa Kanda ya ziwa, geita mkuu
Geita mahalla ganmm mwenyewe ngosha wa geita tupo tunajenga taifa pamoja sana mkuu
Kaka. BIASHARA zako hua zinanichekesha sana, 🤣🤣🤣Mimi natafuta vijana 500 wa kunitembezea kahawa kwenye birika, ukiwapata unishtue, nisije kufa na njaa.
katoro mtaa wa ccmGeita mahalla gan
Hapana mkuu bado sija upgrade kua kampuni, nipo mi kama Mimi, ila baadae nita upgrade naitakua kampuni kubwa tukipanua huduma zaidi karibu Kwa huduma na mashirikiano, asanteJina la kampuni?
Poapoa mi geita town mkuu ndio home town mzeerkatoro mtaa wa ccm
Leo dada changamoto wanataka nifanye nao kazi wapo mbali, MMOJA kadai yupo mwanza, mwingine kadai yupo DSM, mi nipo zenji Kwa sasa, nimewaomba next time tapo upgrade zaidi, tavuka maji ni dili tuWeka namba utapokea simu ya kazi any time
Hahahaa🤣 hapana bob ni maisha Fulani tu hivi tunaishi sometimes watu wanatuogopa huenda mambo safi kumbe wapi, nilipanga Getto ghorofani ile hali watu iliwaumiza kisaikolojia, niliogopwa sana kumbe kawaida tu kile chumba nilikia nalipia EF 80 Kwa mwezi sababu mwenye NYUMBA yule Mzee zilikua zimapanda sanNani amesema wewe wa kishua bob