Nimechoka kujifanya wakishua, napuliza dawa majumbani maofsini nk, pliz tuwasiliane wakuu

Nimechoka kujifanya wakishua, napuliza dawa majumbani maofsini nk, pliz tuwasiliane wakuu

Wakuu maisha ya kuvaa cheni Kali raba Kali wazee wa t-shirt na jeans hapana Kwa kweli umri unaenda, nataka kuoa soon inshaallah, hivo nawaomba sana sana sana, ndugu zangu NAPULIZA DAWA MAJUMBANI ya kuua wadudu watambao na warukao pliz nipeni kazi wakuu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🚴🚴🚴

View attachment 3652629
Kaza ushuanii aseee...... Huku usije
 
Sasa huyu si kachalii bado ndio wakati wake huu wa kujidai muache kwa raha zake! Matajiri hawana makelele bwana!😎
Kachalii, kumbe una taarifa zake, safi 😎

Anyway, tukiwaomba mtupe jamani sio mambo ya kutufanya mpaka tuanze kufake maisha
 
Back
Top Bottom