Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
- Thread starter
- #41
Hapana kaka naimami kubwa sana na mziki siwezi ghaili, hii ni kazi tu nje ya Sanaa mana kuja mziki unilipe sio Leo bro, naendelea kumtafuta mwana fa, naibu waziri, ili nifanye nae korabo ndo nakomaa na msigwa anikonekt nae namvizia insta huko bila mafanikio