Nimechoka kujifanya wakishua, napuliza dawa majumbani maofsini nk, pliz tuwasiliane wakuu

Nimechoka kujifanya wakishua, napuliza dawa majumbani maofsini nk, pliz tuwasiliane wakuu

Wakuu maisha ya kuvaa cheni Kali raba Kali wazee wa t-shirt na jeans hapana Kwa kweli umri unaenda, nataka kuoa soon inshaallah, hivo nawaomba sana sana sana, ndugu zangu NAPULIZA DAWA MAJUMBANI ya kuua wadudu watambao na warukao pliz nipeni kazi wakuušŸ™šŸ™šŸ™šŸ™šŸ™šŸ™šŸ™šŸ™šŸ™šŸ™šŸ™šŸš“šŸš“šŸš“

View attachment 3652629
Upo mkoa gani na bei ikoje kwa nyumba ya vyumba viwili, jiko na vyoo viwili?
Nataka kudhibiti wadudu wote warukao na kutambaa bila kuwasahau mijusi na nyoka.
 
Hivi huku mjini wanapata wateja kweli , maana sijawahi ona mtu mwenye mba, utangotango si ujui , mapunye sijui nini lakini huku mjini ni hamna viroboto walisha futika kwenye uso wa dunia,kunguni labda mashuleni nako wanafaya farmigation ,utitiri labda kuku,mende tuna rungu na wenziwe.
Miaka ile watu wananyoa nywele kwa viwembe na mikasi ilikuwa rahisi sana kuona mapunye kichwani.

Mapunye ni vinundu vidogo vidogo vinavyo ota kichwani kwa mtu.
 
Hivi huku mjini wanapata wateja kweli , maana sijawahi ona mtu mwenye mba, utangotango si ujui , mapunye sijui nini lakini huku mjini ni hamna viroboto walisha futika kwenye uso wa dunia,kunguni labda mashuleni nako wanafaya farmigation ,utitiri labda kuku,mende tuna rungu na wenziwe.
Ukiona wanatembeza jua wateja wapo. Mjini hapa kuna uchafu mno mno mno, magonjwa ya ngozi, wadudu wanaoruka na wanaotambaa ni kawaida mno hasa kwa wakazi wenye maisha duni. Tembelea Vingunguti, Buguruni, Kigogo, Magomeni, Jangwani n.k ukajionee watu wanavyoishi karne ya 16
 
Nyie mafala mnawapa tabu wanaume wa JF kujifanya maboss kumbe n wauaji wa kunguni
Bro kupulizia dawa sio kuua kunguni tu, ni kupe elimu kidogo unakumbuka yule muheshimiwa wa kinondoni alipoteza watoto wake wawili kisa mbu? Sasa kama tajiri na muheshimiwa kama huyo kapoteza watoto wawili kisa mbu unatakakusema Nini? Kupulizia dawa sio kunguni tu kaka ni wadudu kibao ambao wanaweza kululaza hospitali na drip juu mkuu, you bela wochi yua bak
 
Upo mkoa gani na bei ikoje kwa nyumba ya vyumba viwili, jiko na vyoo viwili?
Nataka kudhibiti wadudu wote warukao na kutambaa bila kuwasahau mijusi na nyoka.
Nipo zenji Kwa sasa mkuu, nihabarishe ULIPO nitue chap kama nyau,,,,,,,
 
Back
Top Bottom