Nimechoka kujifanya wakishua, napuliza dawa majumbani maofsini nk, pliz tuwasiliane wakuu

Nimechoka kujifanya wakishua, napuliza dawa majumbani maofsini nk, pliz tuwasiliane wakuu

Bro kupulizia dawa sio kuua kunguni tu, ni kupe elimu kidogo unakumbuka yule muheshimiwa wa kinondoni alipoteza watoto wake wawili kisa mbu? Sasa kama tajiri na muheshimiwa kama huyo kapoteza watoto wawili kisa mbu unatakakusema Nini? Kupulizia dawa sio kunguni tu kaka ni wadudu kibao ambao wanaweza kululaza hospitali na drip juu mkuu, you bela wochi yua bak
Au sio
 
Wakuu maisha ya kuvaa cheni Kali raba Kali wazee wa t-shirt na jeans hapana Kwa kweli umri unaenda, nataka kuoa soon inshaallah, hivo nawaomba sana sana sana, ndugu zangu NAPULIZA DAWA MAJUMBANI ya kuua wadudu watambao na warukao pliz nipeni kazi wakuu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🚴🚴🚴

View attachment 3652629
Tengeneza app ya kuweka booking then jitangaze kuanzia instagram, Facebook, jamii forum etc utapata customers wengi sana, tumia ai kutengeneza business model
 
Tengeneza app ya kuweka booking then jitangaze kuanzia instagram, Facebook, jamii forum etc utapata customers wengi sana, tumia ai kutengeneza business model
Safi kaka nilianza kwanza kuandaa jina nimepata, ZACHARIA JR environmental maintainance group. Hii ni kujitofautisha nakuwa Fanya wateja wangu wanitambue. Sasa mengine yatafata
 
Back
Top Bottom