Nimechoka kusindikiza wenzangu kwenye madini

Ushawahi kujihusisha na mambo ya uchimbaji ndugu!?
 
Naibili huyu usikubali ushauri wake mpk akuonyeshe bank statement zake za mwaka huu.
 
Haya mambo ya madini ni complicated Sana, nilianza hii kazi kwa mtaji Wa 2m Kwa kununua nikajapigwa mawe feki, nikaamua kuajiriwa kuchimba shimo la mshua fulani nako pia majanga tupu,
Haya mambo unaweza ukatumia utaalamu ama ushirikina na pia ukafeli.
 
UDOM its better waendelee na UVCCM wazalishe TISIII wengi kuliko haya mabomu wanayotutengenezea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…