K kadogo2 JF-Expert Member Joined Feb 16, 2024 Posts 3,278 Reaction score 5,212 May 9, 2025 Thread starter #381 rikiboy said: Subirii aje kuwachomea motoo kwenye nyumbaaa...! au awakate kate mapangaaa.. Huyo ni wa kumuacha huko japo inauma ndo ashapotea na hizo bhangii. Click to expand... Mkuu uwezi kumtelekeza hospital wakiona mgonjwa kaa muda mrefu bila ndugu zake Kuja wanamuachia Sema hapa kama kuna mtu ana fahamu soba ya bure labda kuchangia hela ya chakula kidogo tupeane connection akaae hata mwaka huko labda atabadilika
rikiboy said: Subirii aje kuwachomea motoo kwenye nyumbaaa...! au awakate kate mapangaaa.. Huyo ni wa kumuacha huko japo inauma ndo ashapotea na hizo bhangii. Click to expand... Mkuu uwezi kumtelekeza hospital wakiona mgonjwa kaa muda mrefu bila ndugu zake Kuja wanamuachia Sema hapa kama kuna mtu ana fahamu soba ya bure labda kuchangia hela ya chakula kidogo tupeane connection akaae hata mwaka huko labda atabadilika
M Mimmz Member Joined Jun 13, 2022 Posts 7 Reaction score 14 May 11, 2025 #382 Sio akili ake ni pepo nimemvaa huyo aende kwa mchumbaji aombewe au kwa shekhe afanyiwe visomo vizito
K kibobori mahoro JF-Expert Member Joined Dec 12, 2022 Posts 8,624 Reaction score 12,206 May 11, 2025 #383 Mafunzo yake halali ni gerezani.
dr namugari JF-Expert Member Joined Nov 19, 2022 Posts 10,753 Reaction score 18,781 May 11, 2025 #384 Leteni mirembe chapu iko siku atakuja kuwabaka