Nimechoka na matusi ya huyu kaka yangu mwenyewe Miaka zaidi ya 40

Sasa hii ni kesi ya Polisi mkiua lazima mtiwe ndani haijalishi alikua mlevi au alikua anabeba mapanga
 
Hospital tunampelekaje mkuu.. unavyoona hapa tumetoka polisi na sungusungu ila ameachiwa wanasema hawawezi kulaza vichaa maana mara ya mwisho alitaka kujinyonga huko lockup
Huyo anatakiwa afungwe kamba apelekwe kwenye clinic ya wagonjww wa akili Muhimbili au Milembe ,kule wana utaalamu wa jinsi ya kuishi nao na kuna dawa maalumu wanazotumia zinawapa usingizi wanatulia hawafanyi vurugu akishafungiwa kule akakosa bangi akili yake itakaa sawa.
Kuendelea kumfuga hivyo na kumuonea huruma mnahatarisha maisha yenu na ya watu wengine
 
Kamata anayemuuzia bangi maana inaonekana ndo chanzo
 
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.

Anyway tusilaumu sana si ndio?
Sasa huyo ndugu yako anahitaji msaada wa matibabu. Huyo ni ama apelekwe soba house au hospitali ya vichaa.

Mkimuendekeza huyo ipo siku atawachomea ndani wote na yeye atajiua pia. Chukueni hatua haraka sana, huyo ni kitisho dhidi ya uhai na mali zenu na za jamii yote inayowazunguka.
 
akili za watanzania zao zimefungamanishwa na yanga na simba, na mkae mkijua kupata katiba mpya kwa akili hizi haiwezekani
Unaijua auto dictionary ya kwenye keypad ya simu?
Usiwe mwepesi kuhukumu as if you know someone in and out. I suppose you might start reading over my earlier exchanges in JF to see if I'm the type of person you believe me to be.
 
Umesema ni mkandarasi? mbona unampa cheo kikubwa mpumbavu
 
Muombe Mungu akupe ujasiri Mkubwa na naamini Mungu hubadilisha maisha na tabia za watu weka nia katika maombi ungana na Mama kumuombea
 
Unaijua auto dictionary ya kwenye keypad ya simu?
Usiwe mwepesi kuhukumu as if you know someone in and out. I suppose you might start reading over my earlier exchanges in JF to see if I'm the type of person you believe me to be.
umeamua kutumia kiingereza chakn uchwara kunitisha? Kamusi ya batani ya simu inang`amuliwa na maneno yako uliyaandika mwanzo.
 
Peleka sober house.itamsaidia
KAZI ni kipimo cha utu
 
Huyo kwa sehemu fulani ugonjwa/magonjwa yake ni ya kiroho, hivyo hata matibabu yake lazima yahusishe pande zote mbili. Hospitali na kwa watumishi wa Mungu. Kwa hali aliyonayo kutumia nguvu ili kujaribu kumrekebisha inaweza kuendelea kumvuruga zaidi.
Sijui mnaishi wapi? Kama ni Dar naweza kuj
kukushauri mahali sahihi pa kupata msaada wa kiroho.
 
Mama kijana kabisa huyo
 
Hospital tunampelekaje mkuu.. unavyoona hapa tumetoka polisi na sungusungu ila ameachiwa wanasema hawawezi kulaza vichaa maana mara ya mwisho alitaka kujinyonga huko lockup
Huyo ni Mental case, siyo Police case...

Hao Polisi walipaswa kuwashauri Kumpeleka Hospitali. Na siyo kumrudisha nyumbani..
 
Hivi waafrika si ndio wanasemaga watu wakizaa mapema, watoto wanakuwa na akili kuliko wakichelewa kuzaa, anyway poleni sana mkuu
Watoto wenye akili huzaliwa wengi sana !Tena wenye ndoto kubwa sana!

Lakini mamajusi wa leo ni wabaya Sana kuliko wale wa enzi za Yesu!!mamajusi au wanajimu au wachawi wakishaona mtoto huyu ni nyota kubwa wanaanza KAZI yao ku spin hatma ya kijana huyo mpya!

Josephat Gwajima anajua hii nilimsikia!!
 
alijua wanakuja kumsodoma tena akaamua akimbie mazima
 
ni shida ya akili anatakiwa kupelekwa hosp kipengele ni kwamba mtu mwenye shida hii hua anakua kwenye akili yake " ANAKATAA" kua yeye ni mwendawazimu

kumfunga pia ni option nzuri
 
Mmmh
 
Haya Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…